Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

We jamaa mpumbavu sana, umetoka kusema vyakula ni bei chini ya kutupa saivi unasema cost of living ipo juu 😂😂😂😂
 
Lazima angeitaja Mkapa maana ndio daraja pekee ambalo limewekwa hapo na kuzidi la kwetu kimakosa.
 
Acheni kulalamika kama mazezeta, huwa mnakwenda shuleni kujifunza kingereza cha nini kama kimewashinda, tutaendelea kuwazidi kingereza hadi mkome na mtalialia kila siku, hovyoo sana nyie, tatizo lenu uzembe.
 
Tunapokea watalii na wageni maelfu kwa Maelfu, huwa tunazungumza nao Kijaluo?
Again this is embarrassing kwa jitu zee lenye wajukuu kama wewe kuongelea kuzungumza kingereza kama ni kitu cha kupata credit.huoni aibu mzee au ndio kichwani ndio hamnazo,
 
Wengi wa hao watalii mnapokea kwa ajili ya jitihada zetu kuongea nao Kingereza kisha tunawapokeza huko mnakenua meno na zile zezeze zenu.
 
Kiingereza mnababaika nacho ninyi minyumbu ya malkia.

Kwa kweli Kiswahili kinatubariki sana. Hatubabaishwi na lugha za kuokoteza za wakoloni.

Minyang'au inaona faraja kuzungumza lugha za kitumwa. Mko radhi hata kuliwa maboga na wazungu kwa ajili ya Kiingereza. Hahaha

Sijui kawaroga nani ati!? Mnatia huruma.
 
Hahahhaahaaaa.....

Manyang'au ndivyo yalivyo. Wakizungumza hicho kiingereza chao cha kubangaiza basi wanajihisi uzungu uzungu fulani.

Wako radhi hata kuikabidhi nchi yao kwa wazungu kwa ajili ya Kiingereza tu.
 
Nyie ndio kimewapiga chenga mko hovyoo sana halafu wavivu, tutaendelea kuwazdi kwenye kuzungumza kingereza, kwanza ndio mtaji wetu maana tukiwzidi hivi huwa kinatufaidi kwa sababu wengi wenu mnatengwa kwa kutokujua kingereza.
 
Hahahhaahaaaa.....

Manyang'au ndivyo yalivyo. Wakizungumza hicho kiingereza chao cha kubangaiza basi wanajihisi uzungu uzungu fulani.

Wako radhi hata kuikabidhi nchi yao kwa wazungu kwa ajili ya Kiingereza tu.

Hamna kitu huwa raha kama kuongea kingereza, sio zile ze ze ze zenu mnahangaika hamna mkuu wenu hata mmoja anayeweza kueleza chochote kwa kingereza kuunga unga maneno tu mpaka wameshindwa kutoka nje ya nchi kwa aibu.
 
Nikueleze tu kama haukunielewa vizuri..... Hatubabaiki na hivyo viingereza vyako uchwara.

Tunatosheka na Kiswahili ambacho kinakidhi mahitaji yote ya mawasiliano.

Ndio maana hata wewe nyang'au upo hapa unajitutumua kutumia Kiswahili ambacho bado kinakupiga chenga za uso.

Hakuna aibu yoyote kutokujua Kiingereza. Sio lugha yetu, wala hatuoni ufahari wowote kuizungumza.

Sisi ni watu huru, sio koloni la muingereza Kama Kenya-land!

Sijui unanielewa vizuri we zee la kibera?
 
Hamna kitu huwa raha kama kuongea kingereza, sio zile ze ze ze zenu mnahangaika hamna mkuu wenu hata mmoja anayeweza kueleza chochote kwa kingereza kuunga unga maneno tu mpaka wameshindwa kutoka nje ya nchi kwa aibu.
[emoji16][emoji16][emoji16]wewe jamaa hata huwa nahisi unaumwa ugonjwa wa akili,namna yako ya kujenga hoja ina mashaka sana.
 
Nenda ufunzwe kingereza ndio uje kujadili na mimi chochote, kujua kingereza kunaboresha IQ yako unaacha kuwa kilaza kilaza, huwa nakupuuza maana nakudharau hadi ujiboreshe.
Hizo shule mnakwenda kufundishwa kingereza kisha mnatoka kapa kwa mlivyo wazembe.
Fuata hizi taarifa hapa uone kwa kutkujua kingereza mnawachosha watalii hadi hawarudi kwenu tena, mnakenua meno tu ze ze ze
 
Wengi wa hao watalii mnapokea kwa ajili ya jitihada zetu kuongea nao Kingereza kisha tunawapokeza huko mnakenua meno na zile zezeze zenu.
Kivipi mnawapokeza hao watalii wakati Tz inapata Mapato ya utalii mara tatu yenu?
Kipindi cha Corona Uwanja wa Kenyata ulifungwa, lakini Tanzania imerekodi idadi kubwa zaidi ya Watalii, wanaotoka ulaya, Marekani na Asia, hawa nao ni Juhudi zenu na Kingereza kibovu chenye accent ya kikamba?
 
Hahahhaahaaaa.....

Manyang'au ndivyo yalivyo. Wakizungumza hicho kiingereza chao cha kubangaiza basi wanajihisi uzungu uzungu fulani.

Wako radhi hata kuikabidhi nchi yao kwa wazungu kwa ajili ya Kiingereza tu.
Ni aibu kuwa na majirani wasiojitambua na mazezeta kama wakenya, Yaani yakiongea Kingereza Chao kibovu yanajiona kama sehemu ya Jamii ya Uingereza,
Tazama hili zee zima MK254 dunia ya leo bado linajivunia Lugha
 
Ona kwa kutokujua kingereza mnavyowapoteza watalii, hawarudi tena kuchoshwa na hizo ze ze ze zenu kazi kukenua meno.
Nipo huku sehemu inaitwa Kerugoya maeneo ya Kenya ndani kabisa, nimemrejesha mwanangu shule anasomea huku, nimeshangaa kuona gari lenye nambari za Kitanzania, mjanja amemleta mwanaye afundishwe kingereza sio hizo ze ze ze mpaka mnatia kichefu chefu.
 
Wameshindwa kwenye Corona na ule upuuzi wao wa Pima, pima, pimaaa, sasa wamegeukia Kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…