Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
We jamaa mpumbavu sana, umetoka kusema vyakula ni bei chini ya kutupa saivi unasema cost of living ipo juu 😂😂😂😂Je wajua kuna Makampuni mangapi yalikua yanaajiri maelfu yamwfungwa?
Je wajua cost of living ilivyokua juu na hakuna nyongeza ya mishahara?
Je wajua watanzania wangapi account zao zimekua Freesed?
Je wajua taaluma ya uandishi Ndio inakufa baada ya Makampuni mengi kushindwa kufanya kazi matokeo yake maelfu ya vijana hakuna ajira
Je wajua nini kiliwapata Wakulima wa korosho kule kusini?
Jiwe kavuruga uhusiano na nchi jirani Ndio maana mpaka sasa hatuna sehemu ya kupeleka mazao
Yaani kila sekta Kaharibu kuanzia
Wafanyqkazi
Wafanyabiashara
Wakulima
Matajiri
Maskini
N. K
Anyways ninyi mnaotembelea mavieitee wala hajui zahma iliopo mitaani