Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

Je wajua kuna Makampuni mangapi yalikua yanaajiri maelfu yamwfungwa?
Je wajua cost of living ilivyokua juu na hakuna nyongeza ya mishahara?
Je wajua watanzania wangapi account zao zimekua Freesed?
Je wajua taaluma ya uandishi Ndio inakufa baada ya Makampuni mengi kushindwa kufanya kazi matokeo yake maelfu ya vijana hakuna ajira
Je wajua nini kiliwapata Wakulima wa korosho kule kusini?
Jiwe kavuruga uhusiano na nchi jirani Ndio maana mpaka sasa hatuna sehemu ya kupeleka mazao
Yaani kila sekta Kaharibu kuanzia
Wafanyqkazi
Wafanyabiashara
Wakulima
Matajiri
Maskini
N. K
Anyways ninyi mnaotembelea mavieitee wala hajui zahma iliopo mitaani
We jamaa mpumbavu sana, umetoka kusema vyakula ni bei chini ya kutupa saivi unasema cost of living ipo juu 😂😂😂😂
 
Kwanini asikumbushie daraja lililoko kenya kuwa nalo nirefu linastahili kuwepo katika list ile, haridhiki hadi ataje Daraja la Mkapa Tz, mbina hakusema kwanini mozambique ametaja Tz? Jichunguzeni wazee mnachuki za bure na mtaumwa na mioyo kwa hasira na hasada mlizonazo kwa Tz.

Lazima angeitaja Mkapa maana ndio daraja pekee ambalo limewekwa hapo na kuzidi la kwetu kimakosa.
 
Eti tunawazidi Kingereza, yaani umri huo bado unajivunia kujua Lugha?

Ajabu hii dhana ya kujua au kutojua Kingereza kati ya Watz na Wakenya hulalamikiwa na wakenya weusi kama oil chafu au lami,
Maelfu na maelfu ya wazungu na wageni hutembelea Tanzania kila siku na hakuna aliyewahi lalamikia kupata changamoto kwenye Lugha.
Ila bado nashangaa kama na uzee wote huo unajivunia kujua Lugha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Acheni kulalamika kama mazezeta, huwa mnakwenda shuleni kujifunza kingereza cha nini kama kimewashinda, tutaendelea kuwazidi kingereza hadi mkome na mtalialia kila siku, hovyoo sana nyie, tatizo lenu uzembe.
 
Tunapokea watalii na wageni maelfu kwa Maelfu, huwa tunazungumza nao Kijaluo?
Again this is embarrassing kwa jitu zee lenye wajukuu kama wewe kuongelea kuzungumza kingereza kama ni kitu cha kupata credit.huoni aibu mzee au ndio kichwani ndio hamnazo,
 
Wengi wa hao watalii mnapokea kwa ajili ya jitihada zetu kuongea nao Kingereza kisha tunawapokeza huko mnakenua meno na zile zezeze zenu.
 
Sijawahi kukuelewa sababu za wewe kulalamika kuhusu kingereza, huwa nakupuuza, ni kweli tunawashinda kwenye kuzungumza kingereza, kilishawapiga nyie chenga, uwezo huo hamuna na ndio maana hata mumeshindwa kuhusika kwenye mikutano ya kimataifa na kuongopea eti mnabana matumizi...watu wa zezeze...mpo wazembe sana nyie watu.
Kuanzia kwa kajamba kama wewe hapo Buza hadi kwa watawala mumeshindwa kuzungumza kingereza licha ya kufundishwa shuleni, uzembe uliokubuhu.
Kiingereza mnababaika nacho ninyi minyumbu ya malkia.

Kwa kweli Kiswahili kinatubariki sana. Hatubabaishwi na lugha za kuokoteza za wakoloni.

Minyang'au inaona faraja kuzungumza lugha za kitumwa. Mko radhi hata kuliwa maboga na wazungu kwa ajili ya Kiingereza. Hahaha

Sijui kawaroga nani ati!? Mnatia huruma.
 
Eti tunawazidi Kingereza, yaani umri huo bado unajivunia kujua Lugha?

Ajabu hii dhana ya kujua au kutojua Kingereza kati ya Watz na Wakenya hulalamikiwa na wakenya weusi kama oil chafu au lami,
Maelfu na maelfu ya wazungu na wageni hutembelea Tanzania kila siku na hakuna aliyewahi lalamikia kupata changamoto kwenye Lugha.
Ila bado nashangaa kama na uzee wote huo unajivunia kujua Lugha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahhaahaaaa.....

Manyang'au ndivyo yalivyo. Wakizungumza hicho kiingereza chao cha kubangaiza basi wanajihisi uzungu uzungu fulani.

Wako radhi hata kuikabidhi nchi yao kwa wazungu kwa ajili ya Kiingereza tu.
 
Kiingereza mnababaika nacho ninyi minyumbu ya malkia.

Kwa kweli Kiswahili kinatubariki sana. Hatubabaishwi na lugha za kuokoteza za wakoloni.

Minyang'au inaona faraja kuzungumza lugha za kitumwa. Mko radhi hata kuliwa maboga na wazungu kwa ajili ya Kiingereza. Hahaha

Sijui kawaroga nani ati!? Mnatia huruma.

Nyie ndio kimewapiga chenga mko hovyoo sana halafu wavivu, tutaendelea kuwazdi kwenye kuzungumza kingereza, kwanza ndio mtaji wetu maana tukiwzidi hivi huwa kinatufaidi kwa sababu wengi wenu mnatengwa kwa kutokujua kingereza.
 
Hahahhaahaaaa.....

Manyang'au ndivyo yalivyo. Wakizungumza hicho kiingereza chao cha kubangaiza basi wanajihisi uzungu uzungu fulani.

Wako radhi hata kuikabidhi nchi yao kwa wazungu kwa ajili ya Kiingereza tu.

Hamna kitu huwa raha kama kuongea kingereza, sio zile ze ze ze zenu mnahangaika hamna mkuu wenu hata mmoja anayeweza kueleza chochote kwa kingereza kuunga unga maneno tu mpaka wameshindwa kutoka nje ya nchi kwa aibu.
 
Nikueleze tu kama haukunielewa vizuri..... Hatubabaiki na hivyo viingereza vyako uchwara.

Tunatosheka na Kiswahili ambacho kinakidhi mahitaji yote ya mawasiliano.

Ndio maana hata wewe nyang'au upo hapa unajitutumua kutumia Kiswahili ambacho bado kinakupiga chenga za uso.

Hakuna aibu yoyote kutokujua Kiingereza. Sio lugha yetu, wala hatuoni ufahari wowote kuizungumza.

Sisi ni watu huru, sio koloni la muingereza Kama Kenya-land!

Sijui unanielewa vizuri we zee la kibera?
 
[emoji16][emoji16][emoji16]wewe jamaa hata huwa nahisi unaumwa ugonjwa wa akili,namna yako ya kujenga hoja ina mashaka sana.
 
Tunapokea watalii na wageni maelfu kwa Maelfu, huwa tunazungumza nao Kijaluo?
Again this is embarrassing kwa jitu zee lenye wajukuu kama wewe kuongelea kuzungumza kingereza kama ni kitu cha kupata credit.huoni aibu mzee au ndio kichwani ndio hamnazo,
Eqyurh0XAAIilqb.jpeg
EqyurhwXEAEO8je.jpeg
 
Nikueleze tu kama haukunielewa vizuri..... Hatubabaiki na hivyo viingereza vyako uchwara.

Tunatosheka na Kiswahili ambacho kinakidhi mahitaji yote ya mawasiliano.

Ndio maana hata wewe nyang'au upo hapa unajitutumua kutumia Kiswahili ambacho bado kinakupiga chenga za uso.

Hakuna aibu yoyote kutokujua Kiingereza. Sio lugha yetu, wala hatuoni ufahari wowote kuizungumza.

Sisi ni watu huru, sio koloni la muingereza Kama Kenya-land!

Sijui unanielewa vizuri we zee la kibera?

Nenda ufunzwe kingereza ndio uje kujadili na mimi chochote, kujua kingereza kunaboresha IQ yako unaacha kuwa kilaza kilaza, huwa nakupuuza maana nakudharau hadi ujiboreshe.
Hizo shule mnakwenda kufundishwa kingereza kisha mnatoka kapa kwa mlivyo wazembe.
Fuata hizi taarifa hapa uone kwa kutkujua kingereza mnawachosha watalii hadi hawarudi kwenu tena, mnakenua meno tu ze ze ze
 
Wengi wa hao watalii mnapokea kwa ajili ya jitihada zetu kuongea nao Kingereza kisha tunawapokeza huko mnakenua meno na zile zezeze zenu.
Kivipi mnawapokeza hao watalii wakati Tz inapata Mapato ya utalii mara tatu yenu?
Kipindi cha Corona Uwanja wa Kenyata ulifungwa, lakini Tanzania imerekodi idadi kubwa zaidi ya Watalii, wanaotoka ulaya, Marekani na Asia, hawa nao ni Juhudi zenu na Kingereza kibovu chenye accent ya kikamba?
 
Hahahhaahaaaa.....

Manyang'au ndivyo yalivyo. Wakizungumza hicho kiingereza chao cha kubangaiza basi wanajihisi uzungu uzungu fulani.

Wako radhi hata kuikabidhi nchi yao kwa wazungu kwa ajili ya Kiingereza tu.
Ni aibu kuwa na majirani wasiojitambua na mazezeta kama wakenya, Yaani yakiongea Kingereza Chao kibovu yanajiona kama sehemu ya Jamii ya Uingereza,
Tazama hili zee zima MK254 dunia ya leo bado linajivunia Lugha
 
Kivipi mnawapokeza hao watalii wakati Tz inapata Mapato ya utalii mara tatu yenu?
Kipindi cha Corona Uwanja wa Kenyata ulifungwa, lakini Tanzania imerekodi idadi kubwa zaidi ya Watalii, wanaotoka ulaya, Marekani na Asia, hawa nao ni Juhudi zenu na Kingereza kibovu chenye accent ya kikamba?

Ona kwa kutokujua kingereza mnavyowapoteza watalii, hawarudi tena kuchoshwa na hizo ze ze ze zenu kazi kukenua meno.
Nipo huku sehemu inaitwa Kerugoya maeneo ya Kenya ndani kabisa, nimemrejesha mwanangu shule anasomea huku, nimeshangaa kuona gari lenye nambari za Kitanzania, mjanja amemleta mwanaye afundishwe kingereza sio hizo ze ze ze mpaka mnatia kichefu chefu.
 
Source : Kenyan Media, No one takes seriously anything from kenyan media house s
Besides,
Tz is collects triple your tourism revenues,
and the Number of tourists significantly increasing on monthlybases, and you are here with your nonsense propaganda..
Wameshindwa kwenye Corona na ule upuuzi wao wa Pima, pima, pimaaa, sasa wamegeukia Kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom