Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

sasa kauli ipi ya chuki hapo!!!

hizo zinafanana na zile za jaguar??

train ni kweli limeishia njiani,ni kweli inatumia deisel wala aio uongo,lakini pia ni kweli huwa wananunua chakula kwetu kama jpm alivyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Hilo alilopost hapo juu nalo la uongo?

Alafu Jaguar alipotoa hayo matamshi, viongozi wenzake na Wakenya kwa jumla walimfokea. Huko kwenu kiongozi mwenye hadhi kama rais abatia matamshi ya chuki dhidi ya Kenya na mnampigia makofi tu.
 
matamshi yapi ya chuki aliyotoa???
 
Kisha JPM alipokuwa akizindua Mkapa bridge Kasema 'na wale wenzetu wanaopenda kusema kila kizuri Cha kwao, Mlima Kilimanjaro wanasema wa kwao, Olduvai gorge wanasema ya kwao, utasikia hili daraja wakisema la kwao.'
Kwani Kenya ndio wenyekupenda kila kitu kizuri kuwa ni chakwao?, mbona mnajistukia?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Hilo alilopost hapo juu nalo la uongo?

Alafu Jaguar alipotoa hayo matamshi, viongozi wenzake na Wakenya kwa jumla walimfokea. Huko kwenu kiongozi mwenye hadhi kama rais abatia matamshi ya chuki dhidi ya Kenya na mnampigia makofi tu.
Matamshi yapi ya chuki Magufuli aliyatoa?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kisha JPM alipokuwa akizindua Mkapa bridge Kasema 'na wale wenzetu wanaopenda kusema kila kizuri Cha kwao, Mlima Kilimanjaro wanasema wa kwao, Olduvai gorge wanasema ya kwao, utasikia hili daraja wakisema la kwao.'
I wish you could change your profile pic if you don't mind sir
Kikwete wakati wa kuanga alihutubia bunge la kenya kwa kusema
' uhusiano wa Kenya na Tanzania umeimarika vizuri sana na hauta haribika tena labda aje mtu mjinga mpumbavu wa ajabu sana.. Na watu wa Aina hio ni wachache kwetu' '
Watafiti wa Mambo wanasema mtu mpumbavu mjinga na wa ajabu sana ni mmoja tu Tanzania wala sio wachache kama JK alivyo fikiri
 
Mkuu unazidi kujidhalilisha hadharani, JPM amepokea award za bara la Africa, SADC na International recognition kutoka majarida makubwa na Institutions kubwa za kidunia, wote hao unahisi hawana akili zaidi yako?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wanaionea tamaa nchi yetu.
[emoji39][emoji39][emoji39]
Lkn si wakenya pekee ndiyo wanaoitamani Tanzania. Nchi nyingi, toka pande zote za dunia, kwa sasa wanaiangalia Tanzania kwa namna ya pekee sana. Hususan rais wetu kipenzi na pia katika kipindi hiki cha korona. Kuna bwana mmoja nilikutana naye, Dulles International Airport, alivyoniona nimevaa t-shirt ya picha na maandishi ya mlima Kilimanjaro, akanisogelea. Na kuniuliza hali ikoje kuhusu korona. Nikamjibu kwa ufupi tu ya kuwa, the citizens are psychologically fit. Our lovely President managed to make people out of fear. They take precautions out of fear, even if caught the flu, they treat it our of fear. In short no fear regarding the pandemic. Hamna kuogopa.
I like this reply.
 
Mkuu unazidi kujidhalilisha hadharani, JPM amepokea award za bara la Africa, SADC na International recognition kutoka majarida makubwa na Institutions kubwa za kidunia, wote hao unahisi hawana akili zaidi yako?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tafadhali niambie hizo awards!!!!!
Kuhusu SADC au AU Sijawahi kusikia
Ila mimi naamini AU sio chombo makini
Wakati Tigre walipokua wanawaua Waoromo walikua pamoja na Wao
Leo Waoromo wameshika dola wanawaua wa Tigre AU ipo na Oromo
Kwa sasa nchi za mabeberu Ndio wanapeleka msaada ya kibinadamu
Hao hao SADC Ndio Waliosema uchaguzi wetu ulikua huru na haki
Kule Uganda kwa sasa utafikiri ni uwanja wa vita
Hakuna SADC wala AU wanasema kitu
Viongozi wa Africa sasa ni corrupt
Viongozi walikua Akina
Nkurumah
Lumumba
Nyerere
Kaunda
Bandar
N. K
Sio Museveni na Kagame
Hivi ukipewa award na Museveni ni nini hio
Pia nataka kujua jiwe kapewa award kwenye nyanja gani??
 
Hata Syria, Yemen, Nagona Kharabhagh pia watu wanauana na UN haichukui hatua zozote, Kwa mtazamo wako basi dunia nzima haina maana na hawana akili zaidi yako. Africa yote hii ni hopeless isipokua wewe tu. am I wrong?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hata Syria, Yemen, Nagona Kharabhagh pia watu wanauana na UN haichukui hatua zozote, Kwa mtazamo wako basi dunia nzima haina maana na hawana akili zaidi yako. Africa yote hii ni hopeless isipokua wewe tu. am I wrong?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
My friend kama unaona watu wanauana kule Yemen na UN inakaa kimya kwa hio wapo sawa kwa sababu wanakufa ni nzige?
Na akitoa mtu kujemea au kulaani hicho kitendo wewe unaamini huyo mtu anajiona yeye ni bora?
Please don't follow the crowd
Haki ni haki na batili ni batili hata kama wanaoihubiri ni minority or majority
 
sasa kosa la jpm ni lipi kwako!!!!

labda unatamani UN wawaze sawa na wewe hivi??
 
Mkuu wewe unasema kijazba na kisiasa na mimi nakwambia kiuhalisia
Kule Songwe na Dodoma mahindi hayana wanunuzi
Jana tu niliuliza nikaambiwa vwawa na mloo mkoani Songwe debe ni 6000 gunia 36000
Nani kakwambia dar mahindi ni 90 000?
NRFA chang'ombe walikua wananunua kwa kilo Sh 600 then wanakata 2% kwa sasa wamesimama soko hamna
Ndugu mimi hii Ndio kazi yangu
Wanunuzi wakubwa wa mazao yetu ni Wakenya maana wao Ndio suppleyers wa nchi zenye ukame kama Somalia,. Eritrea. Ethiopia. Chad. South Sudan. Sudan n, k
Sio kwamba mazao yetu yote wanakula wao
SADC ni nchi za rutuba na wanalima sana mpaka Leo kuna wazungu wamechukua mamilioni ya hekta
Congo ni nchi ya kijani kuliko nchi yeyote duniani baada ya misitu ya Amazon
Mozambique ni Wakulima wazuri sana wapo wareno wanalima sana hakuna njaa huku kusini mwa jangwa la Sahara labda itokee janga kama Nzige au mvua zisitoshe
Nchi kama Somalia au Chad au Africa ya Kati ni nchi za jangwani kama sudan
Hao Ndio wanakua mchele, maharage, mahindi yetu kuliko yeyote yule
Anglia Google map sura ya nchi utaona jinsi gani hizo nchi zilivyo pauka
Kuhusu Matunda
Watu wa muheza na Tanga kwa ujumla soko Lao kubwa ni Kenya maana Kenya kuna viwanda vingi vya juices na wanasambza bidhaa zao kule kaskazini
Mkuu maisha ni kutegemeana na kuishi na watu kwa wema
Uadui hauna faida
ninyi mpo maofisini mkitoka mpo kwenye viietee hamjui mtaani kuna nini
Mkuu naomba tuwasiliane ni vipi naweza kupata hayo mahindi kwa hiyo bei.
 
Tanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
Wakenya ni wanafiki tangu zama za Nuhu
 
sasa kosa la jpm ni lipi kwako!!!!

labda unatamani UN wawaze sawa na wewe hivi??
Sio wawaze sawa na mimi wanatakiwa wawe Waadilifu
Kuna taasisi nyingi na wanahaeakati wengi wanalaani mauaji sehemu mbali mbali
Kwa hio taasisi kulaani dhulma ni kosa?
Jiwe Tatizo lake haambiliki na ndio ametufikisha hapa kwenye shida na umasikini wa kutupwa
 
ndio tatizo lenu vijana mlio wengi,jpm kakutia umasikini kwa namna ipi!!!

wewe kama umekaa unawaza kuna mtu anakujali sana ,awe kutoka ulaya au hapa hapa tz,kiasi cha kukuletea mafanikio au utajiri umeshafeli tayari.

jukumu la serikali na jpm wake,ni kuhakikisha wewe unajitafutia bila kikwazo.kama wamekwama hapo waeleze tena piga kelele uwezavyo utasikika,achana na njaa za tumbo na kuanza kusikiliza wanasiasa,kwamba kuna mtu anahusika na umasikini wako.
 
Je wajua kuna Makampuni mangapi yalikua yanaajiri maelfu yamwfungwa?
Je wajua cost of living ilivyokua juu na hakuna nyongeza ya mishahara?
Je wajua watanzania wangapi account zao zimekua Freesed?
Je wajua taaluma ya uandishi Ndio inakufa baada ya Makampuni mengi kushindwa kufanya kazi matokeo yake maelfu ya vijana hakuna ajira
Je wajua nini kiliwapata Wakulima wa korosho kule kusini?
Jiwe kavuruga uhusiano na nchi jirani Ndio maana mpaka sasa hatuna sehemu ya kupeleka mazao
Yaani kila sekta Kaharibu kuanzia
Wafanyqkazi
Wafanyabiashara
Wakulima
Matajiri
Maskini
N. K
Anyways ninyi mnaotembelea mavieitee wala hajui zahma iliopo mitaani
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
Je wajua kuna Makampuni mangapi yalikua yanaajiri maelfu yamwfungwa?
Je wajua cost of living ilivyokua juu na hakuna nyongeza ya mishahara?
Je wajua watanzania wangapi account zao zimekua Freesed?
Je wajua taaluma ya uandishi Ndio inakufa baada ya Makampuni mengi kushindwa kufanya kazi matokeo yake maelfu ya vijana hakuna ajira
Je wajua nini kiliwapata Wakulima wa korosho kule kusini?
Jiwe kavuruga uhusiano na nchi jirani Ndio maana mpaka sasa hatuna sehemu ya kupeleka mazao
Yaani kila sekta Kaharibu kuanzia
Wafanyqkazi
Wafanyabiashara
Wakulima
Matajiri
Maskini
N. K
Anyways ninyi mnaotembelea mavieitee wala hajui zahma iliopo mitaani

kwahiyo sababu yameajiri maelfu ya watz ndio yaachwe hata kama yana mienendo mibovu!!!!

leo hii Qnet wamekamatwa,na inawezekana kuna mtu roho inamuuma watu kadhaa kupoteza ajira zao pale.tusiendeshwe na njaa,ila uhalisia wa mambo.

leo hii unajiambia tunapoteza soko la chakua,hivi unadhani chakula kinanunuliwa ili kulipa fadhila ya jambo fulani au ni mahitaji ndio humlazimu mnunuzi kununua!!!!

unalalamika ghalama za maisha kupanda,ila serikali ikihangaikia mfumuko wa bei kushuka,mnaita siasa,pesa itapataje thamani,kama inaingizwa sokoni kiholela bila kuzingatia ukuaji wa uzalishaji!!!
 
Yakhe nimekwambia ninyi mpo kwenye mavieitee hamuwezi kujua kinacho endelea mtaani
Makampuni na biashara kubwa zinafungwa kwa sababu ya kodi isioendana na faida au kipato cha biashara husika
Mazao yamekosa wanunuzi baada ya jiwe kuwawekea ukiritimba na urasimu wa kitoto wanunuzi kutoka Kenya
Maisha yamepanda zaidi ya mara Tatu ila wewe hata bei ya sukari hajui maana serikali inakununulia
Kwa kua mpo kwenye system lazima utushangae Sisi ambao tulikua tukifanyakazi ghafla waajiri wetu wakafilisiwa sasa tunahangaika kutafuta mkate angalau wa Leo wewe unatuona Sisi ni wajinga
Kwa kweli jiwe ni katili sana na anaroho mbaya hana huruma
 
Acheni uongo, wakenya hawana uhasama wowote na TZ, kilichopo ni utani wa kawaida tu kati ya raia wa Kenya na TZ ambao upo kwa mataifa mengi tu duniani.

The only minor exception ni kwamba utawala wa JPM umeongeza changamoto kadhaa kwenye mahusiano yetu na Kenya. Kwa mfano, Kulikuwa na haja gani kuchoma vifaranga hai kutoka Kenya tena katika hali ya uwazi na majigambo vile? Vilevile, badala ya kutumia diplomacy kutatua tofauti zetu na Kenya, sisi tuko busy na tit-for-tat foreign policy.

Acha niwape mfano mmoja wa nini maana ya diplomacy. Chukulia mfano UK ilivyojitoa umoja wa ulaya (EU). Usidhani kwamba Germany, France, na nchi zingine za Ulaya hawajui nini kilikuwa nyuma ya ule mpango dhalimu wa Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya. Ikumbukwe kwamba, EU wana mkakati wa muda mrefu wa kupunguza mafungamano yake na Marekani kiuchumi, kisiasa, kiteknolojia na kiusalama. Several attempts za kudhoofisha nguvu hii ya EU zishafanyika lakini zote zimeshindwa kuidhoofisha EU, all to the detriment of US interest in Europe. Hata mafungamano ya kiuchumi kati EU na Russia yalikuwa yameshaanza kupanda kwa kasi, but akatengeneza mgogoro wa Ukraine( through color revolution) ili kuhakikisha EU na Russia hazishirikiani kiuchumi. Kwahiyo Uingereza, alitumika na USA kama chambo ili kujitoa kwake EU kutengeneze spiral effect ya kuidhoofisha EU. Wababe wa EU yaani Germany na France wanaujua mchezo wote, lakini angalia wanavyoijadili EXIT PACKAGE ya UK kwa diplomacy ya upole na ustaarabu bila kuleta taharuki yoyote. Na tayari UK kashapewa za uso na EU coz unafuu aliokuwa unautafuta katika kufanya biashara na EU amenyimwa.

TZ ina tatizo kubwa sana kwenye diplomasia ya kimataifa, hasa kipindi hiki. Hiki ndio kilema chetu watanzania kwa sasa, na hakuna uhasama wowote na Kenya zaidi ya political skirmishes.
 
Back
Top Bottom