NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Kwani Hilo alilopost hapo juu nalo la uongo?sasa kauli ipi ya chuki hapo!!!
hizo zinafanana na zile za jaguar??
train ni kweli limeishia njiani,ni kweli inatumia deisel wala aio uongo,lakini pia ni kweli huwa wananunua chakula kwetu kama jpm alivyosema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu Jaguar alipotoa hayo matamshi, viongozi wenzake na Wakenya kwa jumla walimfokea. Huko kwenu kiongozi mwenye hadhi kama rais abatia matamshi ya chuki dhidi ya Kenya na mnampigia makofi tu.