- Thread starter
- #21
weka jina lako halisi kama siyo waoga sisi? sis ni waoga..... brazaj kama unamwamini Slaa aliyehongwa na magufuli ubalozi akatupa kila alichokiamini for "centuries", basi naanza kukuelewa sasa ni mtu wa namna gani!
Ukishindwa kunielewa kwa maana hii:
Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
Utakuwa umeamua kutokunichagulia tusi kama anitukanaye tu.
Lakini huo ndiyo ulio ukweli.
Wewe kama ni mwoga tafadhali usituunganishe na wengine humo wala awaye yote. Kila mtu na ajisemee mwenyewe.
Kulikoni kutishana?
Anasema Mwenyekiti Mbowe:
"Kwani taabu Iko wapi?"
NB: jina halisi halina maana yoyote ndiyo maana si lazima humu JF na hata lako si halisi.