Jitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo.
Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi.
Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi?
Ikumbukwe ukombozi hauhitaji watu wote:
View attachment 2773394
Hapa ndipo zilipo tofauti zetu na kwingine pote.
"Mwoga yeyote asitwambie watanzania ni waoga. Mwoga yeyote asitwambie sisi ni tofauti na Kenya."
Tuwakumbushe waoga hawa kuwa Kwingine hawana urafiki wala uadui wa kudumu. Pia kwingine, na vigogo huwepo kwenye maandamano.
"Kwamba hakuna katiba mpya, hakuna chaguzi; ni agenda yetu ya turufu kwenye mustakabala wetu kama taifa, na inawezekana."
Jambo la kheri ni kuwa, vuguvugu la kina Mwabukusi limetuonyesha nani ni nani baina yetu.