weka jina lako halisi kama siyo waoga sisi? sis ni waoga..... brazaj kama unamwamini Slaa aliyehongwa na magufuli ubalozi akatupa kila alichokiamini for "centuries", basi naanza kukuelewa sasa ni mtu wa namna gani!
Uzi wako umefanya nikuamini kuwa unaweza kuwafikishia ujumbe
For a sensible man, Msaliti huwa ni adui wa kudumu!
82.3% ya Wafuasi wa Chadema wanamuunga mkono Dr Slaa akiwemo Tundu Lisu na MnyikaKwa nini umewachagua hao. Vipi kuhusu wengine...?
Zingatia kina Mwabukusi wanaungwa mkono na CDM wengi na baina yao ndiyo walio vinara ..
Mbona anafanya harakati zake kwa kushambulia wenzake wanaofanya zao kupitia vyama vyao?Jitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo.
Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi.
Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi?
Ikumbukwe ukombozi hauhitaji watu wote:
View attachment 2773394
Hapa ndipo zilipo tofauti zetu na kwingine pote.
"Mwoga yeyote asitwambie watanzania ni waoga. Mwoga yeyote asitwambie sisi ni tofauti na Kenya."
Tuwakumbushe waoga hawa kuwa Kwingine hawana urafiki wala uadui wa kudumu. Pia kwingine, na vigogo huwepo kwenye maandamano.
"Kwamba hakuna katiba mpya hakuna uchaguzi ni agenda ya turufu kwenye mustakabala wetu kama taifa, na inawezekana."
Vuguvugu la kina Mwabukusi limetuonyesha nani ni nani baina yetu.
Siyo kweli Baba wa Wasaliti wote duniani Yuda Iskarioti alitubu!For a sensible man, Msaliti huwa ni adui wa kudumu!
Hata huyo akiwa nje ya magwanda ni mwenzetu tu, changamoto ni kuwa anaiogopa adhabu itakayompata pindi akijulikana kuwa kajiunga nao. Tena watakaomuadhibu anawaona jinsi walivyo na usongo naye.Sote tunaweza .. isipokuwa ki*gai ..
For a sensible man, Msaliti huwa ni adui wa kudumu!
Hata huyo akiwa nje ya magwanda ni mwenzetu tu, changamoto ni kuwa anaiogopa adhabu itakayompata pindi akijulikana kuwa kajiunga nao. Tena watakaomuadhibu anawaona jinsi walivyo na usongo naye.
Siyo kweli Baba wa Wasaliti wote duniani Yuda Iskarioti alitubu!
We jamaa una kichwa kizito sana. Slaa ameondoka Chadema kabla Magufuli hajawa Rais.Huko kuongwa ni kupi?Kati ya Mbowe na Slaa nani msaliti wa mapambano ya ukombozi?Mbowe ndiye aliyemleta Lowasa kubwa la mafisadi Chadema. Ulitaka Slaa naye azunguke nchi nzima kumnadi Lowasa na kusema sio fisadi?Shida Mbowe kawashika ufahamu hadi hamjui nani jinamizi huko kwenye chama chenu.weka jina lako halisi kama siyo waoga sisi? sis ni waoga..... brazaj kama unamwamini Slaa aliyehongwa na magufuli ubalozi akatupa kila alichokiamini for "centuries", basi naanza kukuelewa sasa ni mtu wa namna gani!
Mbona anafanya harakati zake kwa kushambulia wenzake wanaofanya zao kupitia vyama vyao?
Anapanga , anaamua anaweka ratiba na kupelekea wengine ili wafuate alichoamua.
Yeye na kichwa chake ndiye Halmashauri kuu, ndiye Kamati ndogo ya Halmashauri Kuu, Yaye ndiye Kamati Kuu. Wenzake wana uzoefu, yeye bado ni toddler.
Anayoyataka sasa wenzake walishayafanya mara nyingi tu back then.
Anapaswa kujifunza kujadiliana na kusikilizana pia awe tayari kupoteza.
Ili jambo lako lifanikiwe haupaswi kuwa mbinafsi.
Unaweza ukawa na vision, mission na objectives zako nzuri tu, ukishakaribisha watu ili mshirikiane, wataanza kuzipangua ibjectives moja mpaka nyingine, wataingia kwenye mission kote watasambaratisha, muda wote unatakiwa uwe mvumilivu, as long as Vision is still intact.
Sasa watu ukigusa tu objective ya kwanza, vita inaanzia hapo, maana kwenye objectives mdipo kwenye ulaji (pesa), ndipo kwenye ujiko (visibility) , ndipo penye connections, kwa kifupi pana vitu vingi vya kuweza kumpa mtu vingi na kubadili kabisa maisha yake binafsi huku vision , wakati mwingine vision vikibaki vipovipo tu.
Ukitaka twende hivyo mbona ni rahisi sana. Wapi niliposema amemtaja fulani?Wapi Mwabukusi kamtaja mtu. Una maana hawa wanaong'aka hIvi ndiyo wataka ubunge na ruzuku?
Chadema na wafuasi wao mkubwa saizi ni Akina Mwabukusi na Sukuma gang na sio CCM.Nikisema niki sio Chama bali genge la wahuni tuwe tunaelewana.
Ukitaka twende hivyo mbona ni rahisi sana. Wapi niliposema amemtaja fulani?
SIASA anazofanya Mbowe na genge lake zimepitwa na wakati na hazina impact yyt kwa Taifa hili chawa wa Mbowe mlijue. Hatutaki Siasa za kiwabembeleza watawala utadhani kufanya siasa ni hisani ya chama tawala. Tunataka SIASA za kuwawajibisha watawala pale wanapojiona wako juu ya katiba na sio SIASA za kuwabembeleza eti tupo kwenye maridhiano. Mnaridhiana nini na CCM?Wanauza bandari nyie mnaleta porojo za maridhiano, serious?Mnaacha kuungana na wanaopambana jino kwa jino na wezi nyie mnakuja na porojo za tuna ratiba zetu,mko serious?Toka mmeanza hizo operation mmeona CCM wakiangaika kujibu au kuwazuia?Lakini vipi hili valangati la akina Mdude?Hamuoni CCM wanakereka sana na SIASA za akina mdude kuliko zenu?Mbona anafanya harakati zake kwa kushambulia wenzake wanaofanya zao kupitia vyama vyao?
Anapanga , anaamua anaweka ratiba na kupelekea wengine ili wafuate alichoamua.
Yeye na kichwa chake ndiye Halmashauri kuu, ndiye Kamati ndogo ya Halmashauri Kuu, Yaye ndiye Kamati Kuu. Wenzake wana uzoefu, yeye bado ni toddler.
Anayoyataka sasa wenzake walishayafanya mara nyingi tu back then.
Anapaswa kujifunza kujadiliana na kusikilizana pia awe tayari kupoteza.
Ili jambo lako lifanikiwe haupaswi kuwa mbinafsi.
Unaweza ukawa na vision, mission na objectives zako nzuri tu, ukishakaribisha watu ili mshirikiane, wataanza kuzipangua ibjectives moja mpaka nyingine, wataingia kwenye mission kote watasambaratisha, muda wote unatakiwa uwe mvumilivu, as long as Vision is still intact.
Sasa watu ukigusa tu objective ya kwanza, vita inaanzia hapo, maana kwenye objectives mdipo kwenye ulaji (pesa), ndipo kwenye ujiko (visibility) , ndipo penye connections, kwa kifupi pana vitu vingi vya kuweza kumpa mtu vingi na kubadili kabisa maisha yake binafsi huku vision , wakati mwingine vision vikibaki vipovipo tu.
Naunga mkono HOJA 🙏