Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

Huyu Mwabukusi ni kama Mugabe wakati wa ujana wake.

Mugabe ukifuatilia kwa makini speeches zake kuhusu Zimbabwe wakati akiwa kijana halafu ukaangalia uhalisia wa Zimbabwe aliyokuja kuiacha hutokaa upoteze muda wako kuwafuatilia hawa wanaojinasibu kuwa wao wanafaa kuwa viongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko MPANDA hapa, CCM na Chongolo wao wako hapa full aibu. Wananchi hawana time nao kabisa
 
Naunga mkono hoja.

Siasa za Talk the talk hatuzutaki tunataka kuwalk the talk.

Tumechoka na Slogans za People's power tunataka matendo ya People's power!
 
Kamwe usiwaamini wana siasa walimwita Lowasa fisadi mwishoni wakamteua kuwa mgombea urais wao

Na katiba wanayoitaka wapinzani ni katiba ya kuwasaidia waingie madarakani si katiba ya wananchi wote.
 
Mwabukusi na wenzie wako IRRELEVANT kwa kuwa wananchi hawajui nini wanataka. Ndiyo maana wamewapuuza
 
mimi na mke wangu na watoto wangu, we vepee!!!

ulihisia nakujumuisha wewe feminist kwenye mtazamo wangu, alaa!!

nimtie moyo nani? Yaani niache kumtia moyo mke wangu nimtie moyo Mwambukusi?

Halafu hata unaposema tuseme kwamba nilimaanisha wao,?

huna mke wala watoto mseme na wewe na nani na feminist family right?

ongeza bidii ya kaz kijana hii ya wengine miyeyusho tu
 
Kamwe usiwaamini wana siasa walimwita Lowasa fisadi mwishoni wakamteua kuwa mgombea urais wao

Na katiba wanayoitaka wapinzani ni katiba ya kuwasaidia waingie madarakani si katiba ya wananchi wote.

Hatuwaamini watu tunaamini kwenye agenda za wananchi. Dhana kamili ya kutokuwa na marafiki au maadui wa kudumu, ambako kusamehe kwetu ni 7x70 ..
 
Mwabukusi na wenzie wako IRRELEVANT kwa kuwa wananchi hawajui nini wanataka. Ndiyo maana wamewapuuza

Kwa hiyo ndugu nani walio relevant ambao wananchi hawaja wapuuza? Kingine, unafahamu tofauti ya wao kama binadamu na hoja zao?
 
Hii lugha niliposikia ikihusishwa na zile jinsia ngeni .. binafsi and without prejudice naliigopa kuliko ukoma.
unaona sasa ulivyomuoga?

ongeza bidii ya kazi,
wachapa kazi hodari wenye uhakika wa kipato, hii haisumbui, unaidump kama huioni vile hadi wanakuogopa wew sasa kama ukoma!!

hiyo ni Jamii ya wavivu,
ni vizuri kuogopa kama binadamu makini
 
Watanzania sio wajinga, utapokelewa kwa kadri utakavyo waijia baada ya kukusoma, case closed
 
Dogo unaumia na unaketwa na cdm
 
Watanzania sio wajinga, utapokelewa kwa kadri utakavyo waijia baada ya kukusoma, case closed

Tofautisha watanzania kwa upande mmoja na CCM na vibaraka wao kwa upande mwingine ndugu
 
Kumbe tuwapate wapi malaika ndugu?

Si hata mashetani wawili hakosekani mwenye unafuu?

Si tupate katiba mpya kuhakikisha wachumia tumbo hawapati nafasi?
Tunza familia yako.Ili ufanikiwe katika hilo ni mwendo wa "SALA NA KAZI".(Ora et Labora).Tafuta timu ya Mpira nunua jezi za hiyo timu kama 6pcs,bakiza 2pcs nyingine gawia unaowapenda.Ya kaisari Mpe kaisari na ya Mungu Mpe Mungu🙏....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…