Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir

Dini ni illusion.

Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani ambao wameumbwa na Mungu huyo huyo ambae unataka akukaribishe.

ACHENI USHAMBA!
 
Kwa sababu hizo ndo nchi pekee wamerekani ma mazayuni hawawezi kuvamia na kulipua.

Siwezi nikakimbilia nchi nyengine ambayo kesho rais wa marekani akibadilika vita ipo sebuleni tena. Ntaenda huko marekani najua hawezi kulipua jengo zima na watu wamo ndani

Simple ukikaa chini na kufikiria bila kuanzisha thread za kukashifu dini na kuside na wanafanya unyama wa hali ya juu

Pili HUU NI UONGO MKUBWA

Nchi za kiislam ndo zinaongoza kupokea wakimbizi ila kule hawawekwi kama wakimbizi kwenye makambi wanapewa makazi na kuwa treated kama watu wa kawaida.

Saudi, Qatar, Kuwait, Pakistan, Uturuki wana mamilioni ya wakimbizi kuliko nchi za ulaya lakini hawana kambi za wakimbizi.

Narudia, KAA CHINI USOME
 
waislam hasa wa mashariki ya kati hawaipendi USA ila hao hao wakiulizwa wanataka kuishi wapi wanasema USA, au kukimbilia USA :3Heading:
Haaha

Huww nashagaa sana

Wamejazaa australia, ufaranasa, ujerumani usa na canada, nchi ambzo wakikaa vijiweni wanazipiga sana vita ila moyoni wanatamani waende california wakamuone rambo na arnold😁😉
 
Kwa nini unawaita Wakimbizi wengi wa kiislam badala useme Nchi za kiarabu, na jamii za mashariki ya kati zinapenda kukimbilia Ulaya?

Dini zinatumika kisiasa tuu lakini kwenye passport hakuna dokezo la Imani au dini yako
 
Kwa sababu hizo ndo nchi pekee wamerekani ma mazayuni hawawezi kuvamia na kulipua.

Siwezi nikakimbilia nchi nyengine ambayo kesho rais wa marekani akibadilika vita ipo sebuleni tena. Ntaenda huko marekani najua hawezi kulipua jengo zima na watu wamo ndani

Simple ukikaa chini na kufikiria bila kuanzisha thread za kukashifu dini na kuside na wanafanya unyama wa hali ya juu

Pili HUU NI UONGO MKUBWA

Nchi za kiislam ndo zinaongoza kupokea wakimbizi ila kule hawawekwi kama wakimbizi kwenye makambi wanapewa makazi na kuwa treated kama watu wa kawaida.

Saudi, Qatar, Kuwait, Pakistan, Uturuki wana mamilioni ya wakimbizi kuliko nchi za ulaya lakini hawana kambi za wakimbizi.

Narudia, KAA CHINI USOME
Hana akili Wala muda wa kufanya research , aangalie data Uturuki Ina idadi wa wakikbizi wangapi kutoka Syria ?

Jordan ndio nchi ambayo idadi ya wakimbizi kubwa karibia kuliko wakazi asili au sawa , tena wamepewa uraia na kila kitu.

Asilimia kubwa Jf imeharibiwa na Madunya na Scumbabags Wenye chuki za kidini . Mtu michuki yake anaandika nyuzi kwa mihemko bila research ya kutosha
33670.jpeg
 
Binadamu yeyote, bila kujali dini yake, akipata nafasi atachagua kwenda mahali penye mifumo imara ya elimu, afya, ajira, na haki za binadamu.

Hakuna uhusiano wowote na dini hapa.
 
waislam hasa wa mashariki ya kati hawaipendi USA ila hao hao wakiulizwa wanataka kuishi wapi wanasema USA, au kukimbilia USA :3Heading:
Nafurahi sasa wazungu wanalia na kufanya maandano ya kupinga Waislamu dawa imeeabza kuingia wanaona Waislamu wamekazana nchini mwao demographic inabadilika.

Huwezi kusababisha machafuko na vita katika nchi za watu zilizotulizana halafu ubaki salama bila consequences .

Historia za umamiaji data zinasema ni baada ya vita ndio idadi kubwa sana inakuwepo , nyumbani ni nyumbani hata ule dagaa na Waarabu wako proud na utamaduni wao na kuishi kwao mfano wa Palestina Gaza wakikataa ofa ya kuhama na Kukubali kuishi Gaza licha ya ugumu.
 
85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir

Dini ni illusion.

Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani ambao wameumbwa na Mungu huyo huyo ambae unataka akukaribishe.

ACHENI USHAMBA!

Nitajie nchi moja tu ya kiislamu
 
Back
Top Bottom