Huu ni ushamba wa ki Africa, waarabu wa levant (Syria, Lebanon, Palestine etc) wamejaa kibao Marekani ila sio USA, wapo America kusini huko, ni watu wanaojielewa kwao kulipokua na Vita wakaenda America kusini kwenye Amani na sio USA.
Wanafika Amerika kusini sehemu kama Argentina, Chile, Brazil etc wakazijenga hizo Nchi, walianza kama Machinga mpaka wakawa matajiri, sasa hivi kuanzia maraisi Hadi mabilionea utawakuta kibao, kuna Takriban waarabu milioni 27 Amerika kusini.
Nchi zetu hizi hohehahe ndio tunashobokea USA Ila MTU mwenye Akili anajua aende wapi akatoboe.