Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

Latin America ni predominantly Wakatoliki,
Latin America kuna Wajerumani wahamiaji takribani milioni 10, Waarabu milioni 10, Wajapan takribani milioni 2, Wachina milioni 1.5.
Kama sababu ya Waarabu wengi kuhamia Latin America ni kwa sababu wanaivana zaidi na Orthodox Christianity tungeona wengi wakihamia Urusi pia.

Halafu jiulize kwa nini WaIran wengi zaidi wahamiaji wako Marekani, Canada na Ulaya.
Kuna vitu viwili unachanganya hapo. Levant Arabs na Iran.

Levant Arabs wao wanaiva na orthodox zaidi, ndio maana wapo south America na sio Milioni 10, Brazil pekee wapo milioni 9-12, Bara zima wanazidi Milioni 20.

Iran kabla ya Mapinduzi hawakuwa na uwezo wa Ku accommodate cream ya Nchi, watoto wao vichwa walisema Ulaya na USA ndio maana wapo Sana USA na ndio race iliosoma zaidi hapo USA na ndio wanaoendesha project nyingi ngumu ngumu. Baada ya Mapinduzi na Nchi kuboreshwa kielimu cream ya Nchi sasa hivi ipo Iran Ila still kuna population Yao imebaki USA. Hawa situation Yao ni Tofauti na levant hawakuhama kutafuta maisha Bali walikua na mahusiano mazuri na USA kabla ya Mapinduzi.

Kuhusu Urusi at that time wakati migration inatokea Kulikua na Marxist-lenin ideology, walikua Wana sponsor state atheism, Vitu vya dini vyote vilikua suppressed, sio waisilamu wala Wakristo, hivyo haikua Serikali rafiki at that time.
 
Kule Kuna sheria za kiarabu za mnyaaanzi. Unaishii na masharti ya kizaamani yaliyopitwa na wakati wakati viongozi kwenye mahekalu Yao wanagida ugimbi na kula mbuzi shwain Sasa wewe mlugaluga ule uone
Hahaha,
Kwa hiyo kati yao kuna daraja la mabwana na watwana, na kila kundi linabanwa na SHARIA tofauti
 
Kuna vitu viwili unachanganya hapo. Levant Arabs na Iran.

Levant Arabs wao wanaiva na orthodox zaidi, ndio maana wapo south America na sio Milioni 10, Brazil pekee wapo milioni 9-12, Bara zima wanazidi Milioni 20.

Iran kabla ya Mapinduzi hawakuwa na uwezo wa Ku accommodate cream ya Nchi, watoto wao vichwa walisema Ulaya na USA ndio maana wapo Sana USA na ndio race iliosoma zaidi hapo USA na ndio wanaoendesha project nyingi ngumu ngumu. Baada ya Mapinduzi na Nchi kuboreshwa kielimu cream ya Nchi sasa hivi ipo Iran Ila still kuna population Yao imebaki USA. Hawa situation Yao ni Tofauti na levant hawakuhama kutafuta maisha Bali walikua na mahusiano mazuri na USA kabla ya Mapinduzi.

Kuhusu Urusi at that time wakati migration inatokea Kulikua na Marxist-lenin ideology, walikua Wana sponsor state atheism, Vitu vya dini vyote vilikua suppressed, sio waisilamu wala Wakristo, hivyo haikua Serikali rafiki at that time.
Labda huelewei Orthodox Christianity ni nini, US ina Orthodox Christians wengi zaidi kuliko Latin America yote.
 
Us na orthodox wapi na wapi?

Usa karibia nusu ya Wakristo wake ni protestant, na wao ndio Zionist wa kutupwa Duniani wanajulikana wote.

Orthodox ni hao ambao wanauliwa na Wakristo wa west, sehemu nyingi za Orthodox Christians utakuta wapo against west imperialism.

So protestant na orthodox ni Mbingu na Ardhi, why MTU wa orthodox anayekimbia kuuliwa na Allies wa protestant akimbilie kwa protestant kufuata maadili na makazi ya mwanawe? Unaona ina make sense kwako?
 
Back
Top Bottom