Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Hata mbuzi akiulizwa kwanin ananuka sana atasema ni kwa sababu anatembea tembea sana , hatakosa jibu la kujitetea huku akiruka kuwa ndio asili yake kunuka vibaya mno.Kwa sababu hizo ndo nchi pekee hawawezi kuvamia na kulipua.
Simple ukifikiri
Ndio hapo sasa tujiulize, kwa nini wasiende hapo pakistan pasipo na mashetani ya kikiristo😁😁Hata ingekuwa wewe ungeweza kukimbilia Pakistan?
Hawawezi mkuu.Waislam mjadiliane hili bila jazba. Kuna ndugu yangu alikuwa anaogopa sana waislamu wenye ndefu, akiamini wote ni magaidi. Mnanipa shida sana kuwatetea
Haahawaislam hasa wa mashariki ya kati hawaipendi USA ila hao hao wakiulizwa wanataka kuishi wapi wanasema USA, au kukimbilia USA
Tatizo ni kuwa huko kwa "ndugu katika imaan" kinawaka kwa ukatili sana tena wenyewe kwa wenyewe..85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir
Imagine utoke Iraq ukimbilie AfghanstanHata ingekuwa wewe ungeweza kukimbilia Pakistan?
Hana akili Wala muda wa kufanya research , aangalie data Uturuki Ina idadi wa wakikbizi wangapi kutoka Syria ?Kwa sababu hizo ndo nchi pekee wamerekani ma mazayuni hawawezi kuvamia na kulipua.
Siwezi nikakimbilia nchi nyengine ambayo kesho rais wa marekani akibadilika vita ipo sebuleni tena. Ntaenda huko marekani najua hawezi kulipua jengo zima na watu wamo ndani
Simple ukikaa chini na kufikiria bila kuanzisha thread za kukashifu dini na kuside na wanafanya unyama wa hali ya juu
Pili HUU NI UONGO MKUBWA
Nchi za kiislam ndo zinaongoza kupokea wakimbizi ila kule hawawekwi kama wakimbizi kwenye makambi wanapewa makazi na kuwa treated kama watu wa kawaida.
Saudi, Qatar, Kuwait, Pakistan, Uturuki wana mamilioni ya wakimbizi kuliko nchi za ulaya lakini hawana kambi za wakimbizi.
Narudia, KAA CHINI USOME
Nafurahi sasa wazungu wanalia na kufanya maandano ya kupinga Waislamu dawa imeeabza kuingia wanaona Waislamu wamekazana nchini mwao demographic inabadilika.waislam hasa wa mashariki ya kati hawaipendi USA ila hao hao wakiulizwa wanataka kuishi wapi wanasema USA, au kukimbilia USA
85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir
Dini ni illusion.
Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani ambao wameumbwa na Mungu huyo huyo ambae unataka akukaribishe.
ACHENI USHAMBA!