Hana akili Wala muda wa kufanya research , aangalie data Uturuki Ina idadi wa wakikbizi wangapi kutoka Syria ?
Jordan ndio nchi ambayo idadi ya wakimbizi kubwa karibia kuliko wakazi asili au sawa , tena wamepewa uraia na kila kitu.
Asilimia kubwa Jf imeharibiwa na Madunya na Scumbabags Wenye chuki za kidini . Mtu michuki yake anaandika nyuzi kwa mihemko bila research ya kutosha View attachment 3591029
Huu Uongo kila siku unakuwa disproved humu watu wanaurudia85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir
Dini ni illusion.
Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani ambao wameumbwa na Mungu huyo huyo ambae unataka akukaribishe.
ACHENI USHAMBA!
Tatizo ni kuwa huko kwa "ndugu katika imaan" kinawaka kwa ukatili sana tena wenyewe kwa wenyewe..
Waliokufa mashambulizi ya msikitini Pakistan wafikia 100 Waliokufa mashambulizi ya msikitini Pakistan wafikia 100
Saudi Arabia wakimbi 550Kwa sababu hizo ndo nchi pekee wamerekani ma mazayuni hawawezi kuvamia na kulipua.
Siwezi nikakimbilia nchi nyengine ambayo kesho rais wa marekani akibadilika vita ipo sebuleni tena. Ntaenda huko marekani najua hawezi kulipua jengo zima na watu wamo ndani
Simple ukikaa chini na kufikiria bila kuanzisha thread za kukashifu dini na kuside na wanafanya unyama wa hali ya juu
Pili HUU NI UONGO MKUBWA
Nchi za kiislam ndo zinaongoza kupokea wakimbizi ila kule hawawekwi kama wakimbizi kwenye makambi wanapewa makazi na kuwa treated kama watu wa kawaida.
Saudi, Qatar, Kuwait, Pakistan, Uturuki wana mamilioni ya wakimbizi kuliko nchi za ulaya lakini hawana kambi za wakimbizi.
Narudia, KAA CHINI USOME
Hapo ni Saudi Arabia na Uturuki tu ndio zinapokea wakimbizi.Kwa sababu hizo ndo nchi pekee wamerekani ma mazayuni hawawezi kuvamia na kulipua.
Siwezi nikakimbilia nchi nyengine ambayo kesho rais wa marekani akibadilika vita ipo sebuleni tena. Ntaenda huko marekani najua hawezi kulipua jengo zima na watu wamo ndani
Simple ukikaa chini na kufikiria bila kuanzisha thread za kukashifu dini na kuside na wanafanya unyama wa hali ya juu
Pili HUU NI UONGO MKUBWA
Nchi za kiislam ndo zinaongoza kupokea wakimbizi ila kule hawawekwi kama wakimbizi kwenye makambi wanapewa makazi na kuwa treated kama watu wa kawaida.
Saudi, Qatar, Kuwait, Pakistan, Uturuki wana mamilioni ya wakimbizi kuliko nchi za ulaya lakini hawana kambi za wakimbizi.
Narudia, KAA CHINI USOME
Bro USIJUBU KW MIHEMKO, HEBU TUKKULIZE, KWA NINI WANAKIMBLIA NCHI ZA MAKAFIRI? JUZI JUZI TU MISRI WALIFUNGA MPAKA HAWATAKI WAKIMBIZI TOKA GAZA, KWANINI WASIENDI QUATARY? SAUDIA? MANCHI MATAJIRI KAMA NN? WHY ALWAYS KWA MAKAFIRI? NA KITABU CHAKO KINASEMA WAISLAM NI MANDUGU WHY HAWAENDI HUKO KWA NDUGU ZAO? UNASEMA HUWEZI KWENDA NCHI AMBAYO KESHO INAPIGWA NA RAISI WA MAREKANI, HEBU NAMBIE TANGIA DUNIA IUMBWE LINI QUATARY IMESHAMBULIWA? LINI SAUDIA IMESHAMBULIWA? LINI MISRI,TUNIS,ALGERIA, EAU? Fikiria kabla ya kujibu, na weka pembeni udini? au wait nikupe jibu, DUNIA HII INAAMANI KWASABABU YA MAKAFIRI, LA SIVYO MNGEUANA MAPAKA MUISHE,Kwa sababu hizo ndo nchi pekee wamerekani ma mazayuni hawawezi kuvamia na kulipua.
Siwezi nikakimbilia nchi nyengine ambayo kesho rais wa marekani akibadilika vita ipo sebuleni tena. Ntaenda huko marekani najua hawezi kulipua jengo zima na watu wamo ndani
Simple ukikaa chini na kufikiria bila kuanzisha thread za kukashifu dini na kuside na wanafanya unyama wa hali ya juu
Pili HUU NI UONGO MKUBWA
Nchi za kiislam ndo zinaongoza kupokea wakimbizi ila kule hawawekwi kama wakimbizi kwenye makambi wanapewa makazi na kuwa treated kama watu wa kawaida.
Saudi, Qatar, Kuwait, Pakistan, Uturuki wana mamilioni ya wakimbizi kuliko nchi za ulaya lakini hawana kambi za wakimbizi.
Narudia, KAA CHINI USOME
Kwa sababu hizo ndo nchi pekee wamerekani ma mazayuni hawawezi kuvamia na kulipua.
Siwezi nikakimbilia nchi nyengine ambayo kesho rais wa marekani akibadilika vita ipo sebuleni tena. Ntaenda huko marekani najua hawezi kulipua jenho zima na watu wamo ndani
Simple ukikaa chini na kufikiria bola kuanzisha thread za kukashifu dini na kuside na wanafanya unuama wa hali ya juu
Saudi, Qatar na Kuwait hawafuati definition ya UNHCR ya wakimbizi ndio maana unaona figure hiyo, Angalia immigration figures kutoka nchi hizo zenye vita ndo ucompare na data ya nchi nyingineSaudi Arabia wakimbi 550
Qatar 197
Kuwait 418
Pakistan na jirani zao Afghanistan 3.2M
Turkey na Syrians 2.4M
Kwingineko
Germany 3.55M
U.S. Refugee Arrivals Over the Past Decade
- FY 2024: 80,000 to 100,000+ (estimated)
- FY 2023: 60,014
- FY 2022: 25,520
- FY 2021: 11,450
- FY 2020: 11,840
- FY 2019: 29,920
- FY 2018: 22,491
- FY 2017: 53,716
- FY 2016: 84,994
- FY 2015: 69,933
Hayo yatakuwa ni mafundisho ya nabii wako Tito.Kule Kuna sheria za kiarabu za mnyaaanzi. Unaishii na masharti ya kizaamani yaliyopitwa na wakati wakati viongozi kwenye mahekalu Yao wanagida ugimbi na kula mbuzi shwain Sasa wewe mlugaluga ule uone
Kabla ya vita vya Syria kuanza, Syria iliwahi kushambuliwa? Iraq je? Afghanistan?Bro USIJUBU KW MIHEMKO, HEBU TUKKULIZE, KWA NINI WANAKIMBLIA NCHI ZA MAKAFIRI? JUZI JUZI TU MISRI WALIFUNGA MPAKA HAWATAKI WAKIMBIZI TOKA GAZA, KWANINI WASIENDI QUATARY? SAUDIA? MANCHI MATAJIRI KAMA NN? WHY ALWAYS KWA MAKAFIRI? NA KITABU CHAKO KINASEMA WAISLAM NI MANDUGU WHY HAWAENDI HUKO KWA NDUGU ZAO? UNASEMA HUWEZI KWENDA NCHI AMBAYO KESHO INAPIGWA NA RAISI WA MAREKANI, HEBU NAMBIE TANGIA DUNIA IUMBWE LINI QUATARY IMESHAMBULIWA? LINI SAUDIA IMESHAMBULIWA? LINI MISRI,TUNIS,ALGERIA, EAU? Fikiria kabla ya kujibu, na weka pembeni udini? au wait nikupe jibu, DUNIA HII INAAMANI KWASABABU YA MAKAFIRI, LA SIVYO MNGEUANA MAPAKA MUISHE,
very true, wala hamna ukweli kwamba ni wengi ila wamedominant kutokana na tamaduni zaoHili suala la kuonekana wakimbizi/wahamiaji wengi wa Kiislamu na Kiarabu wanakimbilia west zaidi ni kwa sababu ya kelele za wazungu baada ya mgongano wa tamaduni na culture shock iliyowapata wazungu kwa sababu wanazidi kukutana na mambo mapya ambayo hawakuwahi kutegemea kutoka kwa wahamiaji mfano kuswali barabarani, wanawake kujifunika gubigubi, ndoa kati ya ndugu n.k.
Huyo Tito ni muislam mwenzenu alishasiliimu siku nyingi hadharani. Pambanenj na mzoga wenuHayo yatakuwa ni mafundisho ya nabii wako Tito.
Wahamiaji haramu wakiwa wengi namba ya homeless lazima iongezeke, maana wanahamia tu bila kujari watalala wapiAkili za wakristo wanalenga USA , Kwani USA kuna nn wakati maskini na homeless ni wengi.................... Acheni ushamba ,unapoenda kuvamia nchi nyingine kwa kuua kiongozi wao Mkuu wa nchi : unategemea nn zaidi hafuko ?
Muache kuvamia nchi za watu , mkome mpaka mpinduliweWahamiaji haramu wakiwa wengi namba ya homeless lazima iongezeke, maana wanahamia tu bila kujari watalala wapi