Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

Muache kuvamia nchi za watu , mkome mpaka mpinduliwe
Kinacho wapeleka huko ni matumaini ya kupata maisha bora yenye uhuru, tatizo lenu mkifika huko mnataka kulazimisha wenyeji waishi kwa kufata tamaduni zenu. Sasa wenyeji wenu wanechoka, wameanza kampeni za kuwafurusha mrudi makwenu mkafate vizuri tanaduni zenu
 
Nilisha kupa majibu, hii dunia bila Wakristo au Mnawaita makafiri mngeuwana sana wafuasi wa Allah.
 

Kiongozi; kwa kuwa umeamua kuweka data/number/ percentage, lazima uwe na reference
Naomba kujua hiyo research yako ulifanyia wapi na methodology uliotumia hadi ukapata 85%
Tofauti na hapo, tutajadili tu kama stori za kijiweni za kupoteza muda....
 
Nilisha kupa majibu, hii dunia bila Wakristo au Mnawaita makafiri mngeuwana sana wafuasi wa Allah.

Lini Wazanzibari waislamu waliuwana kabla mkristo mkatoliki Laanatullahi Nyerere kuleta majeshi na kuivamia Zanzibar na kuifanya Sehemu ya Tanganyika aliyoiita Tanzania?
 
Hakuna chochote , mpaka muache kuvamia nchi za watu ...Europe na USA ni kupata pesa za bill wala wageni hawana kipya , waislamu ni wachche sana
 
Muulize Marry Diana
 
Hapo ni Saudi Arabia na Uturuki tu ndio zinapokea wakimbizi.
Saudi hapokei wakimbizi, Bali hutoa hela kusaidia, yeye hupokea migrants. Assume kuna vita Burma, yeye atapokea vijana wanaojiweza kupiga KAZI, wazee, wanawake, watoto etc kama Hana kijana wake hatapokelewa.

Iran na Uturuki ndio wanapokea wakimbizi, kama Iran Fujo lote la USA Middle East kuanzia Afghanistan mpaka Iraq yeye ndio anabeba gharama, anasomesha, kuwalisha na kuwavisha bure hao wakimbizi na ni wengi kuliko hata data za UNHCR zinazoonesha.
 
Lini Wazanzibari waislamu waliuwana kabla mkristo mkatoliki Laanatullahi Nyerere kuleta majeshi na kuivamia Zanzibar na kuifanya Sehemu ya Tanganyika aliyoiita Tanzania?
Bora usingeongelea Zinji, Yaani pale ni Upemba na uunguja ungetamalaki, Amani ya Zenji ni Tanganyika
 
very true, wala hamna ukweli kwamba ni wengi ila wamedominant kutokana na tamaduni zao
Hawaja dominate bali wanajionyesha sana imani yao na kujaribu ku impose utamaduni wao katika utamaduni wa magharibi tofauti na wahamiaji wengine ambao huwa wana assimilate.
 
waislam hasa wa mashariki ya kati hawaipendi USA ila hao hao wakiulizwa wanataka kuishi wapi wanasema USA, au kukimbilia USA
Huu ni ushamba wa ki Africa, waarabu wa levant (Syria, Lebanon, Palestine etc) wamejaa kibao Marekani ila sio USA, wapo America kusini huko, ni watu wanaojielewa kwao kulipokua na Vita wakaenda America kusini kwenye Amani na sio USA.

Wanafika Amerika kusini sehemu kama Argentina, Chile, Brazil etc wakazijenga hizo Nchi, walianza kama Machinga mpaka wakawa matajiri, sasa hivi kuanzia maraisi Hadi mabilionea utawakuta kibao, kuna Takriban waarabu milioni 27 Amerika kusini.

Nchi zetu hizi hohehahe ndio tunashobokea USA Ila MTU mwenye Akili anajua aende wapi akatoboe.
 
ww kati ya nchi za america ungependa kuishi nchi gn
 
Saudi Arabia inapokea wakimbizi ila haiwaiti wakimbizi bali wahamiaji.
 
Saudi Arabia inapokea wakimbizi ila haiwaiti wakimbizi bali wahamiaji.
Nimeongea hapo juu, migrant kiswahili ndio mhamiaji, sifa ya mhamiaji si mtoto, si Mzee, sio mwanamke tegemezi
 
ww kati ya nchi za america ungependa kuishi nchi gn
Nimetoboa hapa hapa Tz, Tanzania ni mini Europe, wageni kibao wanaokuja na kutoboa, we unayeishi Nchi ya Ahadi endelea Tu kusifia Nchi za wenzako.
 
Ni rahisi kwa wahamiaji kuingia nchi zote za America Kusini na Mexico/Latin America, ni vigumu kuingia US na Canada kwa sababu immigration system ina vigezo vigumu sana kuruhusu wahamiaji.
 
Ni rahisi kwa wahamiaji kuingia nchi zote za America Kusini na Mexico/Latin America, ni vigumu kuingia US na Canada kwa sababu immigration system ina vigezo vigumu sana kuruhusu wahamiaji.
At that time USA kulikua na Ugumu gani? Waliotaka walikwenda, Hao wachache walioenda at that time USA pia ni watu wakubwa sasa.

USA kwenye sensa hawataki kabisa kuwaweka watu wa middle East kama separate group, siku zote wanaforce kuwahesabu kama wazungu, na contribution Yao kwenye Hilo Taifa ni kubwa mno. So waliwakaribisha na kuwataka wengi Tu at that time.

Waarabu wamechagua Amerika kusini sababu ya maadili, for years Nchi za levant na Ulaya kusini Mashariki kwa ujumla Wana culture moja, MTU wa Syria ama Lebanon anaishi vizuri Armenia ama Georgia ama Urusi etc culture Yao imeathiriwa Sana na Orthodox Christians, na MTU wa orthodox na mkatoliki wanaishi pamoja. So wao kwenda Amerika kusini ni rahisi Sana Ku adapt culture Ile Ile, ndio maana husikii conflict kubwa yoyote ya waarabu wa levant na walatin lifestyle Yao inafanana.
 
Latin America ni predominantly Wakatoliki,
Latin America kuna Wajerumani wahamiaji takribani milioni 10, Waarabu milioni 10, Wajapan takribani milioni 2, Wachina milioni 1.5.
Kama sababu ya Waarabu wengi kuhamia Latin America ni kwa sababu wanaivana zaidi na Orthodox Christianity tungeona wengi wakihamia Urusi pia.

Halafu jiulize kwa nini WaIran wengi zaidi wahamiaji wako Marekani, Canada na Ulaya.
 
Bora usingeongelea Zinji, Yaani pale ni Upemba na uunguja ungetamalaki, Amani ya Zenji ni Tanganyika
Upemba na Unguja hizo ni mbinu Za N Laanatullahi Nyerere kutugawa lakini hajui kuwa Hakuna mtu yeyote Mzanzibari ambaye hana jamaa yake Unguja na Pemba labda hawa wavamizi kutoka Tanganyika.

Hujaniambia ni lini Wazanzibari walipigana kwa Huo Unguja na upemba kabla uvamizi wa Mkristo mkatoliki Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…