Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Kudadadeki...ulikuwa silent killer.
 
Kwanza play boy Ana swagger....anajua kucheza na hisia za demu,ku mpa attention....pia wanajua ku break the ice....saa wee upo upo Kama uji wa msibani hauna chumvi Wala sukari.
hii ya uji wa msibani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haishangazi,

40% ya maambukizi mapya ya VVU Tanzania ni vijana (14-25) na 80% ya hiyo 40% ni wasichana.(2019)

Hilo rika chini ya 25 ndiyo hasa hunasa kwenye chain ya vitombi.
 
Wastaarabu wengine wanakuwaga wakimya(wapole mpaka wanaboa. Mwanaume hata kama ni mpole mstaarabu ila kwenye hiyo sector inatakiwa uchangamke.
Achangamkaje na wakati hata nafasi hawapewi, Wanawake wengi hawapendi wanaume wastaarabu na walio tulia huo ndo ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…