Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Girls like bad man......mtu mbadiii Kama mwaisa,rude boys/thung lovin huwa iko real.we unamchakata demu Kama muimba kwayaaa.....mamaeee mchakatee demu....ulimi sikioni....kidolee kwenye kinyeo....mashinee inazunguka pande zote,unamkunjaa sarakasi zote,ulimi unatembea pande zote....plus ass slapping,fanya unsual sex mzee babaa ndo maana ma Playboy Wana wini sana mademu zenu.
 
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.

Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada sana kuliko cool boy ambae mtulivu na asiyependa mambo mengi.

Ukitaka kujua hili hebu chunguza hata hata hapo mtaani kwenu kwa mfano unakuta manzi anamkubali jamaa mifano ya wale jamaa waendesha bodaboda ambao wanakuwa wanapenda sana mademu mademu lakini akitongozwa na jamaa mstaarabu na mwenye stara zake unakuta anamchomolea.
Halafu play boy akishawapachika mimba wanaanza kuwatafuta wanaume wastaarabu wawaoe. Wanawake ni wajinga Sana . Ndio maana single mother wameongezeka
 
Wanawake wanavutiwa na wanapenda kuzaa na mwanaume mwenye alpha elements. Na mara nyingi hao bad boys ndio wanazo hizo alpha elements.

Mwanaume ukiwa mstaarabu sana wanawake wanakuona dhaifu na unaboa, na hawapendi kuzaa na mwanaume wanaemuona ni dhaifu.

Sema mara nyingi hao wanaume dhaifu(wastaarabu) wanakuwaga ni mababa wazuri Sana, wanajali na wana upendo hata kwa watoto wasiokuwa wao!

Na wanawake wengi wanalifahamu hili na ndio maana wakishazalishwa na hao play boys wanarudi kwa hao wastaarabu(nice guys) kwa ajili ya malezi ya watoto wao.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.

Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada sana kuliko cool boy ambae mtulivu na asiyependa mambo mengi.

Ukitaka kujua hili hebu chunguza hata hata hapo mtaani kwenu kwa mfano unakuta manzi anamkubali jamaa mifano ya wale jamaa waendesha bodaboda ambao wanakuwa wanapenda sana mademu mademu lakini akitongozwa na jamaa mstaarabu na mwenye stara zake unakuta anamchomolea.
1.Nice guys finish last (hii ni kauli mbiu yao na pia ni sheria yao).

2.Wanaamini playboys huwa wana experience ya mapenzi so wako vizuri kuliko nice guys.

3.Hawapendi nice guys kwa kuwa wanataka mwanaune ambaye angalau yeye mwanamke akimpandishia jamaa haulizi mara mbili anatoa lock /bao zito kweli kweli ili akili imkae sawa .
 
Girls like bad man......mtu mbadiii Kama mwaisa,rude boys/thung lovin huwa iko real.we unamchakata demu Kama muimba kwayaaa.....mamaeee mchakatee demu....ulimi sikioni....kidolee kwenye kinyeo....mashinee inazunguka pande zote,unamkunjaa sarakasi zote,ulimi unatembea pande zote....plus ass slapping,fanya unsual sex mzee babaa ndo maana ma Playboy Wana wini sana mademu zenu.
tatizo unachukulia mambo serious sana
 
Back
Top Bottom