Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.

Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada sana kuliko cool boy ambae mtulivu na asiyependa mambo mengi.

Ukitaka kujua hili hebu chunguza hata hata hapo mtaani kwenu kwa mfano unakuta manzi anamkubali jamaa mifano ya wale jamaa waendesha bodaboda ambao wanakuwa wanapenda sana mademu mademu lakini akitongozwa na jamaa mstaarabu na mwenye stara zake unakuta anamchomolea.
Experience matters, mwenye nacho huongezewa, na mwisho ni asili kwa kiumbe Cha kike kuangalia kidume chenye masculine characters, hii iko ndani yao hata wenyewe wanajua na hubisha kwa Sababu ya trend za kidunia tu, Simba mmoja anahudumia kundi zima la majike.
 
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.

Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada sana kuliko cool boy ambae mtulivu na asiyependa mambo mengi.

Ukitaka kujua hili hebu chunguza hata hata hapo mtaani kwenu kwa mfano unakuta manzi anamkubali jamaa mifano ya wale jamaa waendesha bodaboda ambao wanakuwa wanapenda sana mademu mademu lakini akitongozwa na jamaa mstaarabu na mwenye stara zake unakuta anamchomolea.
Nikweli yaan Ukiwa mtulivu huwez wapata.

Madem wanapenda bad boys sanaa yaan sanaaa.

Alafu ukiwa unapiga pisi kalikali yaan wee utakua wa pisi kalikali

Wanakitu fulan mie nakiitaga "Kuonja yaliyomo"
 
Huwa tunaogopa huyu mtu mkimya kweli ama ndiyo chini chini mambo yake(dillema).

Ila sijui tu kwa mimi mtu mstaarabu sana aarh anaboa mwisho mnaishiwa stories na anapenda mambo yaende formal formal tu😛 Bad boys bana kwanza ule ukauzu wao habembelezi sana coz ana wengi na ukizingua vibao kidogo huyo ndiyo safi sasa naamini hicho kiwivu ndiyo anakupenda, afu kuna ile kwanini ana wadada wengi ana kitu gani unique ngoja nami nitest🤔
 
Huwa tunaogopa huyu mtu mkimya kweli ama ndiyo chini chini mambo yake(dillema).

Ila sijui tu kwa mimi mtu mstaarabu sana aarh anaboa mwisho mnaishiwa stories na anapenda mambo yaende formal formal tu[emoji14] Bad boys bana kwanza ule ukauzu wao habembelezi sana coz ana wengi na ukizingua vibao kidogo huyo ndiyo safi sasa naamini hicho kiwivu ndiyo anakupenda, afu kuna ile kwanini ana wadada wengi ana kitu gani unique ngoja nami nitest[emoji848]
Mwisho na ngoma unatoka nayo baada ya kugundua alicho nacho[emoji12]
 
Unakuta jamaa katonga sikio. Suruali mlegezo kaweka na virasta. Kama mtoto fkani wa kishua kwao wana pesa.
Wakitembea dada njia yote kavimba.

Ukweli ni kuwa mabishoo wanajua mapenzi kuliko wapole na wakimya. Ila uaminifu 0.
 
Hata zizini, majike hupendelea ile midume mijanjamijanja...yaani limenusa nyapu hii, chafya...limenusa nyapu ile, chafya alafu linaenda kupanda kwingine. Utashangaa mijike ikipandwa na moli yote inalizongazonga hili limsela....Linanyandua alafu kauzu halina habari. Likikojoa manzi wote wanalamba mkojo wake.

Hii ni nature na binafsi ilinifanya nikunje nne wakati wa kuchagua yupi wa kuweka ndani.
 
Back
Top Bottom