Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Wanawake wanavutiwa na wanapenda kuzaa na mwanaume mwenye alpha elements. Na mara nyingi hao bad boys ndio wanazo hizo alpha elements.

Mwanaume ukiwa mstaarabu sana wanawake wanakuona dhaifu na unaboa, na hawapendi kuzaa na mwanaume wanaemuona ni dhaifu.

Sema mara nyingi hao wanaume dhaifu(wastaarabu) wanakuwaga ni mababa wazuri Sana, wanajali na wana upendo hata kwa watoto wasiokuwa wao!

Na wanawake wengi wanalifahamu hili na ndio maana wakishazalishwa na hao play boys wanarudi kwa hao wastaarabu(nice guys) kwa ajili ya malezi ya watoto wao.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Nakubali[emoji106]
 
Wanawake wasiojielewa. Wanaojielewa wanatakaga wanaume wawe waume zao. Yaani dume lenye heshima na busara zake. Yaani wale ambao utawakuta sehemu za starehe mara chache sana na ukimkuta basi atakuwa na whisky yake na marafiki wawili watatu wanaojielewa na hutawaona hapo muda mrefu.
 
Ukiwa mkubwa utaelewa wanawake wanapenda hela. Hizo za Playboy Ni Mambo ya utoto, na uwanafunzi.

Hicho kitu kilinikuta nikiwa o level advance level. Na chuo nilikuwa nawala ata marafiki na Mimi huwa sidanganyi ukiniuliza nasema kweli nilitembea nae. Chuo nilimaliza Kama nusu. Saivi wakiona umechukua gari mpya ndo utapewa salamu.

Nilikuwa na kula pisi kali kwa kiburi ila mwanamke nilikuwa namtaka wakumuoa Ni simple asiye na makuu na mpenda Sala na awe black tusije zaa albino. Oooh na ujanja wako wote umeoa huyuu Hana ata tako sura ndo hiyoo duh. Unamjibu tu samahani me nilikutamani kwa sababu ya sex na sifa kwamba wanawake wazuri nimewalala.
 
Ustaarabu ni hulka ya kike.
Itakuwa hujui maana ya ustaarabu. Kwa maelezo sahali ustaarabu ni tabia njema, yaani kufanya jambo kwa uzuri. Sasa hapo jihukumu mwenyewe, tena sisi ambao ndiyo tunawasimamia hawa wanawake kwa ujumla ndiyo tunatakiwa haswa tupambike na vazi bora la ustaarabu (Tabia nzuri/njema).
 
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.

Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada sana kuliko cool boy ambae mtulivu na asiyependa mambo mengi.

Ukitaka kujua hili hebu chunguza hata hata hapo mtaani kwenu kwa mfano unakuta manzi anamkubali jamaa mifano ya wale jamaa waendesha bodaboda ambao wanakuwa wanapenda sana mademu mademu lakini akitongozwa na jamaa mstaarabu na mwenye stara zake unakuta anamchomolea.
Ni sawa sawa leo hii mimi niwapende au nimpende mwanamke kiruka njia.

Hivi hao wanawake wa hivyo huwa mnakutana nao wapi aisee ? Hawa Wanawake wa huku kwetu ni hatari.
 
Ni Jana tu nimefumwa hapa. Anauliza Angel ndo nani?ikawa vuruguuuu,akanuna.Me nikampanua mapaja nikaweka dushe,et haoneshi ushirikiano,weee nikakolezaaa,mwenyewe akaanza kuikatikia huku analalama "na Angel unamfanyaga hivi" me roho inaumaaaa!

Hajajua tu kuwa bad boy mimi ninao 6,wa 7 naona mwenyewe anajileta.
 
Back
Top Bottom