Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

Labda wakristu hawana uhakika kama kweli Yesu alikuwepo, wanabahatisha tu kuchora, na kama kweli alikuwepo kuchora ni kukufuru.
 
Huyu mtu "wakili wa shetani" ndani ya JF, ningetamani nimuone ana kwa ana ili aniunganishie vitu fulani. Hilo jina sio mchezo!!
 
Sijui nilikutana nayo wapi.... white Jesus with blue Eyes
1665496566044.jpg
 
Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.

14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?

file-20200708-3995-5ulgxa.jpg

HD-wallpaper-jesus-christ-jesus-christ-christian-god-religious-thumbnail.jpg

jesus-is-lord.jpg
Usiendekeze ujinga. Anayochorwa wala siyo Yesu bali mzungu fulani mwigizaji. Wanachofanya lau ni kutaka watu waamini alikuwapo kuliko wale ambao wanaogopa hata kutoa picha ya bosi wao ambaye wengi wanadhani ni wa kutunga
 
Ila michoro ipo kabla muigizaji hajazaliwa
 
Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.

14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?

file-20200708-3995-5ulgxa.jpg

HD-wallpaper-jesus-christ-jesus-christ-christian-god-religious-thumbnail.jpg

jesus-is-lord.jpg
Wakristo ni wachache kuliko unavyodhani.

Dini inayoitwa ya Kikristo imeundwa ili kupingana na kusudi la Mungu la ukombozi kws wanadamu.

Dini na imani ni dhana mbili tofauti.

Ukinielewa utagundua kitu
 
Waabudu nyota na mwezi na anga la usiku wafuasi wa Mudi mwarabu 🤣🤣🤣
Hujui maana ya kuabudu nenda darasani kajifunze kwanza ,hakuna anyejali kuhusu nyota na mwezi na wala vitu hivyo havipo katika dini bali watu wameamua kuweka tu kama identify na pambo .

Mtu akivaa saaa au kofia basi ndio anabudu hivyo ? Au akipaka ndani kwake rangi nyeupe nasi ndio anaabudu hiyo ?

Kajifunze maana ya kuabudu kabla ya kukomenti na kudhihirisha ujinga wako hapo..
 
Usipoteze muda wako kumjibu huyo hamnazo,huyo kakosa jibu la kumjibu mleta mada ndio maana ameamua kuzuga kwa kashfa za kipumbavu na za kitoto.
 
Back
Top Bottom