Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Usemacho ni kweli .Na Tofauti ya wakristo na hao wengine ambao si wakristo ni moja Tu Nayo ni hii;

Wakristo walio wengi Wana uchumi mzuri (kipato cha Kati na cha juu)...inclusive economy..Kwa lugha niyingine,sehemu yenye wakristo wengi wanaweza wasiwe matajiri Sana lkn pia wanakuwa Wana maisha mazuri ya kupata three basic needs,food, clothes and shelter bila shida

Hao wengine ambao siyo wakristo anaweza kujitokeza mmoja au hata kumi wakawa matajiri wa kutisha lkn the rest wakawa walala Hoi wa kutupwa(masikini mbwa)..Hiyo ndy tofauti
Umeeleweka Sana mkuu
 
Sijui mleta mada aliwaza Nini ndo akaamua kuja na huu ushumbwanda.
Kwanza atuambie yeye Yuko dini gani na Yuko kundi gani Kati ya maskini na tajiri
 
Kingine wakristo hufanya kila njia (including kufoji nyeti) ili mradi apate kazi serikalini..
Sababu kuu ya kutaka kazi serikalini sio nyingine bali ni kutaka kuiba tu mfano Konda Boy..
 
Kaka mkubwa with all due respect hawa matajiri makubwa ni mabinafsi na machoyo sana na ndio yaliyotajwa kwenye Bible kuwa ni rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kuurithi ufalme wa Mungu
Haya matajari makubwa hayatengezi network ya wengi wapate hivyo hujikusanyia mpaka kile cha fukara wa mwisho
Hawa wengine wasioingia kwenye network ya ukwasi wa dunia wana utajiri wa mtandao kuanzia familia, ndugu mpaka watu baki na ndio furaha yao kuona 'wote tunapata'!

JamiiForums mobile app
Umenifanya nifikirie sana kuhusu Bakhresa kuingilia biashara za kuuza maandazi na juice biashara ambazo watu maskini ziliwapa kipato, leo hii huyu tajiri kawaharibia maskini, yaani hii ni roho mbaya kabisa
 
Haja ya Wakristo wote ni kuuona Ufalme wa Mungu, sasa kama Biblia imetuambia ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko TAJIRI kuuona Ufalme wa Mungu, wewe unategemea nani anapenda kuwa "Tajiri"? that is not so necessary but the truth is:

Gap kati ya TAJIRI na Maskini ni kubwa zaidi kwa hizo dini nyingine ulizo mention ukilinganisha na Wakristo, kama huamini angalia hapa Tanzania, maeneo ambayo wakazi wake majority ni Wakristo nenda ukalinganishe na maeneo ambayo majority ni Waislam, nenda Lindi na Pwani vijijini uangalie maisha wanayoishi, halafu nenda ukalinganishe na maisha wanayoishi kule Bukoba, au Moshi au Mbeya utapata jibu kwamba ni bora kwenye population majority wakaishi maisha ya wastani, kuliko kuwa na Matajiri wakubwa top 10 halafu common wananchi wote majority wanaishi kwenye vibanda na nyumba za nyasi.
Hata hapo Dar es Salaam, fanya utafiti wakazi wengi wa Buguruni, Temeke na Mbagala, halafu nenda ukalinganishe na wakazi wa Tabata, Mbezi na Kimara utapata majibu yako!
Kuna rafiki yangu yeye ni Mzanzibari sasa akapata nafasi ya kwenda bara, akashangaa sana maisha ya watu wa bara yeye alienda mkoa wa Mbea akaniambia watu wakule wanakula muda wowote na kwenye kula mfano nyama wanawekewa yana nyingi kwenye bakuli tofauti na kwao wao wanawekewa vipande viwili na mchuzi.
 
Wakristo watafanya kila njia kupata mali mfano kuchuna ngozi watu, kuua Albino, kukata watu vidole.. yote haya utayasikia maeneo ya wakristo, huwezi kusikia huu upuuzi maeneo ya waislamu sababu waislamu naturally wamebarikiwa Duniani na Akhera?..
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Wakristo hawatumii MAJINI.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wewe ndio kama akili hazikutoshi halafu unawashangaa wakristo..

Mali hutaenda nazo popote, utaziacha hapa hapa duniani, ni kama mapambo tu.
Hata kama mali m mapambo basi hakikisha na ww znakupamba sio unaita mapambo akat ziko kwa wenzio
 
1) waislam wengi hawasomi sana,huanza biashara udogoni hivyo kupata muda wa kutosha wa kutajirika

2)Ni rahisi muislam kwenda kwa mganga kubusti biashara na kuweka kings kuliko mkristo. sio kuwa wakristo hawaendi,wamezidiwa.

3)uhusiano wa waislam na Asia ni mkubwa kuliko wakristo na wazungu hivyo kuwa rahisi kwa waislam kupata mtaji
4) Biashara inahitaji ubahili na kutoa toa hela , waislam kipengele hicho wako vizuri kuliko wakristo.
Waislamu ni wabahiri sana asee kuna kipind nlikua nafanya biashara moja hv yan akija mteja mwislam atalia bei mpaka umajisemea duh afu pia hata pale hospitali ya amana akifa mkiristo wale waosha maiti wanafurah mana wanajua leo kuna hela ila akifa mwislamu wanajua hapa hakuna hela mana waislamu wanaoshaga maiti zao wenyewe
 
Usemacho ni kweli .Na Tofauti ya wakristo na hao wengine ambao si wakristo ni moja Tu Nayo ni hii;

Wakristo walio wengi Wana uchumi mzuri (kipato cha Kati na cha juu)...inclusive economy..Kwa lugha niyingine,sehemu yenye wakristo wengi wanaweza wasiwe matajiri Sana lkn pia wanakuwa Wana maisha mazuri ya kupata three basic needs,food, clothes and shelter bila shida

Hao wengine ambao siyo wakristo anaweza kujitokeza mmoja au hata kumi wakawa matajiri wa kutisha lkn the rest wakawa walala Hoi wa kutupwa(masikini mbwa)..Hiyo ndy tofauti
Kipindi hcho waislam wanadanganywa shuleni wanapika nguruwe ndo wakatumia hlo gap ila baada ya miaka 10 hali itakuwa tofauti gwajima alishasema siku moja kuhusu hilo na akatoa na sababu.
 
Inategemea na mkoa, mkoa nilippo Wakristo ndo wanaongoza, ila wa Dsm weng wanaoongoza ni waislam na wahindi na Wayaudi wa kiuku
 
Usemacho ni kweli .Na Tofauti ya wakristo na hao wengine ambao si wakristo ni moja Tu Nayo ni hii;

Wakristo walio wengi Wana uchumi mzuri (kipato cha Kati na cha juu)...inclusive economy..Kwa lugha niyingine,sehemu yenye wakristo wengi wanaweza wasiwe matajiri Sana lkn pia wanakuwa Wana maisha mazuri ya kupata three basic needs,food, clothes and shelter bila shida

Hao wengine ambao siyo wakristo anaweza kujitokeza mmoja au hata kumi wakawa matajiri wa kutisha lkn the rest wakawa walala Hoi wa kutupwa(masikini mbwa)..Hiyo ndy tofauti
Haja ya Wakristo wote ni kuuona Ufalme wa Mungu, sasa kama Biblia imetuambia ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko TAJIRI kuuona Ufalme wa Mungu, wewe unategemea nani anapenda kuwa "Tajiri"? that is not so necessary but the truth is:

Gap kati ya TAJIRI na Maskini ni kubwa zaidi kwa hizo dini nyingine ulizo mention ukilinganisha na Wakristo, kama huamini angalia hapa Tanzania, maeneo ambayo wakazi wake majority ni Wakristo nenda ukalinganishe na maeneo ambayo majority ni Waislam, nenda Lindi na Pwani vijijini uangalie maisha wanayoishi, halafu nenda ukalinganishe na maisha wanayoishi kule Bukoba, au Moshi au Mbeya utapata jibu kwamba ni bora kwenye population majority wakaishi maisha ya wastani, kuliko kuwa na Matajiri wakubwa top 10 halafu common wananchi wote majority wanaishi kwenye vibanda na nyumba za nyasi.
Hata hapo Dar es Salaam, fanya utafiti wakazi wengi wa Buguruni, Temeke na Mbagala, halafu nenda ukalinganishe na wakazi wa Tabata, Mbezi na Kimara utapata majibu yako!
Different id, one person.
 
Back
Top Bottom