Kwanini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani hawafungi macho?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari?

Picha nyingi za walinzi WA JPM zinaonyesha muda wote ibadani wanakuwa macho...wakifunga macho wakasali NI kosa?
 
Hebu weka kapicha tuone walinzi wakikodoa
 
Hivi hii ya kufunga macho wakati wa kuomba imetokea wapi?
Maana ukisoma bible huoni mahali imetajwa.
 
Bila shaka hata wewe. Mlikuwa mnatazamana badala ya kusali nyinyi ni hatari sana.
 
Na kama muislam wakiwa msikiti wana swali,wanainama kusujudu au? (mwenye picha wakiwa msikitini )
 
Kumbuka yeye Kaka kazini hajaja ibadani .akiwa off au Maisha binafsi atafumba macho na kupiga MAGOTI ipasavyo
 
Fita ni fita mura
 
Sasa umesha andika WALINZI, unataka tukusaidie nini tena? au unafikiri unaweza kulinda huku umefunga macho?
 
Ndo kwanza baraka anaongezewa
 
Kwenye biblia kunq mstali umeandikwa, aombae akiwa amefumba macho lebgo lake ni potofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…