Kwanini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani hawafungi macho?

Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari?

Picha nyingi za walinzi WA JPM zinaonyesha muda wote ibadani wanakuwa macho...wakifunga macho wakasali NI kosa?
Kwa sababu hawaombi, kazi yao ni kulinda tu
 
Hivi hii ya kufunga macho wakati wa kuomba imetokea wapi?
Maana ukisoma bible huoni mahali imetajwa.
Ilianza na Jesus.
Lengo kuu ni kuweka attention kufocus akili na roho sehemu moja, macho hayana pazia.
 
Piga magoti kama kweli wanamwomba Mwenyezi Mungu kumbe vichwani mwao ni ushetani mtupu, uuaji, visasi, na ukatili mtupu, st.Peters RC church inabidi liombewe ili lisafishike,najsi iliingia pale, President wa awamu ya kwanza yes alikuwa msafi ila magu it's a NO
Kanisa lipo KWA ajili ya kuwabadilisha wenye dhambi
 
Kwani ibada kukubaliwa ni lazima ufunge macho
 
Walinzi, wapiga picha, mafundi mitambo hawa wapo kazini kuhakikisha ibada inakwenda,
 
Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari?

Picha nyingi za walinzi WA JPM zinaonyesha muda wote ibadani wanakuwa macho...wakifunga macho wakasali NI kosa?
inaweza kuwa mda huo wapo kazini hawapo kwenye ibada, ila ikifika siku na mda wao wa ibada watafunga tu.
ni kama cameraman tu msikitini wenzie wanaswali yeye anachukua video au kupiga picha
 
sijawah kushuhudia pia wapiga vinanda na wakusanya sadaka wakianguka kwa mapepo.
 
Piga magoti kama kweli wanamwomba Mwenyezi Mungu kumbe vichwani mwao ni ushetani mtupu, uuaji, visasi, na ukatili mtupu, st.Peters RC church inabidi liombewe ili lisafishike,najsi iliingia pale, President wa awamu ya kwanza yes alikuwa msafi ila magu it's a NO
Usihukumu usije kuhukumiwa
 
Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari?

Picha nyingi za walinzi WA JPM zinaonyesha muda wote ibadani wanakuwa macho...wakifunga macho wakasali NI kosa?
Kwani kufunga macho ni lazima?
 
Back
Top Bottom