Kwanini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani hawafungi macho?

Kwanini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani hawafungi macho?

Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari?

Picha nyingi za walinzi WA JPM zinaonyesha muda wote ibadani wanakuwa macho...wakifunga macho wakasali NI kosa?
Umeshasema mlinzi wa kiongozi, yeye hapo yupo kazini na sio ibadani.
 
sijawah kushuhudia pia wapiga vinanda na wakusanya sadaka wakianguka kwa mapepo.
asilimia kubwa ya wanaopagawa na mapepo ni wanawake, na hii ni kutokana na hisia zao zipo karibu hivyo ni rahisi wao kulipuka. na hii haimaanishi wanaume hawana pepo.

kwa hii kesi yako, ibada nyingi hasa za kirokole ndio kuna kutoana mapepo, utaona mpiga kinanda ni mwanaume hivyo si rahisi kupandwa na pepo, na utakuta kahudumu sana kanisani hata yalisha mpanda na yakaisha so anaendelea na huduma ya kupiga kinanda bila shida.

upande wa sadaka mara nyingi watu huinuka na kwenda kutoa wenuewe mbele, may be kwa waroma ndio huwa mistari michache mtu ndio anapita kukusanya sadaka, na ukiangalia kwa waroma hakuna maswala ya kuamshana mapepo.

unaweza jiuliza pia kwanini watu hawadondoki mda wa kutoa sadaka. coz huo mda sio wa kupandishana mapepo i mean sio mda wa kukemea.
 
wekeni na ya Samia akiwa masjidi.au yeye haendagi kuombamungu?
 
Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari?

Picha nyingi za walinzi WA JPM zinaonyesha muda wote ibadani wanakuwa macho...wakifunga macho wakasali NI kosa?
Hizo dini ni propaganda hazina uhalisia.
 
Back
Top Bottom