Kwanini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani hawafungi macho?

Kwa sababu hawaombi, kazi yao ni kulinda tu
 
Hivi hii ya kufunga macho wakati wa kuomba imetokea wapi?
Maana ukisoma bible huoni mahali imetajwa.
Ilianza na Jesus.
Lengo kuu ni kuweka attention kufocus akili na roho sehemu moja, macho hayana pazia.
 
Kanisa lipo KWA ajili ya kuwabadilisha wenye dhambi
 
Kwani ibada kukubaliwa ni lazima ufunge macho
 
Walinzi, wapiga picha, mafundi mitambo hawa wapo kazini kuhakikisha ibada inakwenda,
 
inaweza kuwa mda huo wapo kazini hawapo kwenye ibada, ila ikifika siku na mda wao wa ibada watafunga tu.
ni kama cameraman tu msikitini wenzie wanaswali yeye anachukua video au kupiga picha
 
sijawah kushuhudia pia wapiga vinanda na wakusanya sadaka wakianguka kwa mapepo.
 
Usihukumu usije kuhukumiwa
 
Kwani kufunga macho ni lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…