Kwanini walioshangilia kujeruhiwa kwa Tundu Lissu hawakukamatwa?

Kwanini walioshangilia kujeruhiwa kwa Tundu Lissu hawakukamatwa?

Hawakukamatwa kwasababu tayari Mwenyezi Mungu alijua atawapa Adhabu kali kama wengine kupoteza nafasi zao za kazi zilizowapa Ujeuri, Kiburi na Ubabe huku wengine akiwachukua kwa Umauti wa kushtukiza na usiokuwa ukitarajiwa na wengi kutokana na Miguvu yao ya kimamlaka hapa Tanzania.
 
Sisi wengine kumsema Marehemu ni vibaya ngoja ninyamaze
 
Ni upuuzi kutaka kulazimishana furaha, huzuni au kupendwa! Kila mtu aishi maisha yake! Kuwa na huzuni au furaha hutegemeana na aina ya maisha mliyo ishi na marehemu kabla ya kifo chake.

Na jambo hili halipo Tanzania tu! Lipo duniani kote! Leo hii itokee Muizrael akafa, ni kawaida sana kwa Mpalestina kufurahia/kufanya hata sherehe! Sababu ni nini? Ni uonevu tu wa hao Waizrael dhidi ya Wapalestina ndiyo chanzo cha hizo chuki.

Tuishi kwa kupenda kutenda haki! Uonevu, dhuluma, ubinafsi, ubaguzi, ukabila, umungu mtu, ujivuni, ukaidi, nk. Ndiyo chanzo cha baadhi ya watu kufurahia vifo vya wenye mamlaka.
Ogopa Mungu Ubaya una mwisho wake hivyo kukataza watu kutoa hisia ni kinyume na matakwa ya haki za binadamu.
 
lkwa sababu Tundu Lissu ni puppet na muasi wa taifa lake kwa mabeberu…Jeshini na sehem yoyote duniani waasi dawa yao ni bunduki tu hamna jinsi
 
lkwasababu tundu lissu ni puppet na muasi wa taifa lake kwa mabeberu…Jeshini na sehem yoyote duniani waasi dawa yao ni bunduki tu hamna jnsi
Wahi mazishi ya mtukufu wako wewe UVCCM! Lissu yupo anadunda tu huko ughaibuni. Mwaka wa jana alikuja kuwanyoosha, mkaishia tu kumgwaya.
 
Wewe unataka uturudishe nyakati za Wapiga dili. Kwanza hata Ushabiki wako umeonekana ni wa Upande gani?
 
Kabisa mkuu,awamu ya 5 imepanda chuki yenyewe ,wacha waione ngodoigwa,huyo Tundu Lissu wamemchokoza wenyewe!

"UBAYA UBAYA TU" - JPM.
 
Back
Top Bottom