Kwanini walioshangilia kujeruhiwa kwa Tundu Lissu hawakukamatwa?

Kwanini walioshangilia kujeruhiwa kwa Tundu Lissu hawakukamatwa?

Tumepitia kipindi kigumu sana cha kuoongozwa na mwendawazimu. Ndiyo maana hata mission yake ili bumba big-time.

Still kwa kukataza watu wasimuone Lissu Nairobi Hospital, na kumnyima mshahara na kumnyang'anya ubunge na marupurupu inaacha ushahidi wa Mazingira kuwa Magufuli ndiye mhusika Mkuu wa operation ya kumuua Lissu.

All in All Mungu ameonyesha uwapo kwa Watanzania. Aliyetaka kumuua Lissu amekufa yeye na maiti yake inatembezwa kama biashara ya machinga mitaani

Lissu ni kama Huriah wa Biblia tu. Hii haikumzui Daudi kumzaa Suleimani Mfalme na mke wa Huriah mhiti.

Hii haikuzuia Watanzania kupitia familia ya Hayati JPM kutuambia kuhusu Neema ya Toba ya Bwana Yesu iliyomshukia JPM. Hata katika kitanda cha kifo chake tumeambiwa JPM alikuwa akimba nyimbo za kumtukuza na kumsifu Mungu na Bwana Yesu akiwahinikiza walio karibu naye kufanya hivyo.

Unajua maandiko ya Mungu yanavyo sema ?, "Wawapo wawili au watatu kwa ajili ya jina langu Mimi Mungu wa Mbinguni niko kati yao."
Jua fika wakati wanaimba nyimbo za kumsifu Mungu yeye JPM na walio mzunguka hapo katika death bed/room Mungu alikuwa kati yao.

Tengeneza njia yako achana na JPM yeye Vita kapiga vizuri na Imani aliilinda. Ushuhuda uko wazi. Usije ukakutwa na kifo ukiwa umezungukwa hapo utakapofia na jopo la walozi wakiwa wamesindikizwa na mizimu yao wanayo iabudu.
 
Kwenda zako kwani Lissu alikua Rais? Upumbavu wake wa kujibizana na kukejeli mamlaka ya Rais hadi akawaaminisha maamuma wafuasi wake yeye ni sawa na Rais [emoji23][emoji23]
 
Jiwe ni malaika tena mkuu wakati Tundu Lissu ni mwanadamu.Kuna utofauti mkubwa sana!
 
Kwenda zako kwani lissu alikua rais? Upumbavu wake wa kujibizana na kukejeli mamlaka ya rais hadi akawaaminisha maamuma wafuasi wake yeye ni sawa na rais 😂😂
Kulia alie tetere akilia Bundi uchuro! Who is Rais? Malaika? Hajazaliwa na Mwanamke kama binadamu wengine? Au ndio makada wote mnaamini jamaa alikuwa ni "Muheshimiwa mungu"?
 
Ndio maana Mungu kaleta Covid19 ili tuwe sawa. Kawapa roho ya kiburi ili waangamie vizuri
 
Hata wakizuia kufurahi hadharani watu watafurahi mioyoni na vyumbani mwao. Polisi hawa hawa waliwazuia hata watu waliotaka kukusanyika kumwombea Lissu uponyaji. Na hii kwa kweli ni kazi ya Samia kuwaunganisha watanzania. watu wana vinyongo mioyoni mwao.
 
Lissu alikuwa anapinga maendeleo.
Alikuwa anawarudisha nyuma wenzie.
Wakaamua kumtuliza
Sasa kama aliyulizwa kelele za lini? Si alitulizwa? Sasa aliyetulizwa huwa anaongea? Si mmemtuliza? Basi twambieni kwamba mlishindwa kumtuliza ndio maana anawasumbua mpaka leo. Maana kama alitulizwa tulitegemea atulie na tusingesikia tena kwamba anawasumbua na mnajibizana naye kila kukicha.
 
KAMA WATU WA MIKOA YA KASKAZINI WAMEPATA SHIDA SANA AWAMU YA TANO.
PICHA LINAANZA MBUNGE WA ZAMANI WA MOSHI MJINI NDESAMBURO AMEFARIKI RATIBA IKAPANGWA AAGWE NA WANA MOSHI KATIKA UWANJA WA MASHUJAA, MUDA MFUPI TU BARUA YA POLISI INAKUJA WAMEZUIA KUTUMIA UWANJA WA MASHUJAA KWASABABU KELELE ZA WATU ZITASUMBUA MAHAKAMA NA SHULE, ILA MIKUTANO YA DINI UWANJA HUO HUO RUKSA HIYO HAISUMBUI.

PILI RATIBA IKAPANGWA BASI NDESAMBURO AZUNGUSHWE BARABARA ZA MOSHI MJINI WATU WAMUAGE SABABU ALISAIDIA SANA WAKAZI WA MOSHI, BARUA YA POLISI FASTA IKAJA KUZUIA NA KUHAKIKISHA POLISI WANAKAA BARABARANI KUZUIA HILO TUKIO.

TATU HAYATI MAGUFULI AKASEMA MIKOA YA KASKAZINI ILISHAENDELEA TANGU ZAMANI HIVYO KWASASA ITASUBIRI KWANZA NA WENGINE WAENDELEE
HUKU MTANDAONI UKILALAMIKIA UGUMU WA BIASHARA TU KIDOGO KUTOKANA NA KODI UTASIKIA WACHAGA MMEZOEA KUPIGA DILI SASA MMEKUTANA NA MWANAUME WA KISUKUMA ATAWAKOMESHA NA SASA NI ZAMU YETU WASUKUMA.
UKIFUATILIA TU HAYO MAMBO MACHACHE UNAGUNDUA NI KWA KIASI GANI JINSI CHUKI ZA UKANDA NA UKABILA ZILIKUA ZINAKUZWA HAPO.
TUOMBE TU MUNGU TAIFA LIRUDI TUWE WAMOJA KAMA ZAMANI BILA KUBAGUANA KWA DINI UKANDA WALA UKABILA.
 
Mmoja ni Rais wa JAMHURI ya Tanzania 🇹🇿 mwingine ni mkora flani hivi
 
Waswahili wanamisemo mingi tu, e.g. tenda wema nenda zako, huwezi okota embe chini ya mbuyu, unavuna ulichopanda, n.k.
 
"all animals are equal, but some are more equal"
Acha uongo hicho kitabu wala hakikuwa kinahusu Africa. Kilihusu jamii ya Waingereza na mambo yao hasa ya siasa. Wacha kusema uongo
 
Acha uongo hicho kitabu wala hakikuwa kinahusu Africa. Kilihusu jamii ya Waingereza na mambo yao hasa ya siasa. Wacha kusema uongo
Nadhani fasihi iliyotumika mule hata nchi za kiafrika zinahusika sana kwenye hicho kitabu
 
Atulie mara ngapi?..
Unamuona hapa tanzania?
Sasa kama aliyulizwa kelele za lini? Si alitulizwa? Sasa aliyetulizwa huwa anaongea? Si mmemtuliza? Basi twambieni kwamba mlishindwa kumtuliza ndio maana anawasumbua mpaka leo. Maana kama alitulizwa tulitegemea atulie na tusingesikia tena kwamba anawasumbua na mnajibizana naye kila kukicha.
 
Back
Top Bottom