The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
😀😀Waxungu = wazungu, malexi = malezi. Wewe ndo miongoni mwa wazazi wapumbavu mnaotajwa kwenye huu uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Waxungu = wazungu, malexi = malezi. Wewe ndo miongoni mwa wazazi wapumbavu mnaotajwa kwenye huu uzi.
😁😁😁Unakuta familia baba mvaa vipensi vya kubana vinaishia mapajani kwenye luks ya kipensi kaning'iniza remote ya gari wakati hana gari, mama ana vaa sendoz zina manyoya na masikio kama paka hivo hivo cover ya simu ina masikio do u expect mtoto wao Junior aogope jicho la mama? Never
😂😂😂😂😂Akina Junia😂😂
Saint Anne
Wamama wengi wanachanganywa na waume zao, kwahiyo wanakuwa na stress mpaka malezi yana washimda😅Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli.
Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani kutembea. Bahati mbaya nikakutana naye amekaa katikati ya kundi la kinamama kuna jicho alinikata nilitoka mbio bila kupumzika hadi nyumbani nikisubiri usiku yatokanayo.
Hii ilikuwa inatukuta watoto wote mtaani, ukitoroka kwenda kudoea msosi kwa jirani macho tu yatakutoa kwenye ugali.
Leo nimeshangaa sana, dada na mtoto wake nyumbani, mtoto anamuabisha mbele za wageni, mtoto anakatwa kajicho flani kakizembe anacheka na kukapotezea.
Imekuaje wamama wa siku hizi wamepoteza utisho wa kianamke. Hawana ushawishi wa zile signal za kimaadili ambazo ilikuwa ukionyeshwa tu unakaa mguu sawa na kufuata maelekezo kabla hata uchapwa fimbo.
No hilo tu.