GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 31, 2024 #1 Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Jul 31, 2024 #2 Makolo wako Egypt wanacheza na watoto wa Madrasa
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Jul 31, 2024 #3 Injinia kafanya utapeli
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Jul 31, 2024 #4 ngara23 said: Makolo wako Egypt wanacheza na watoto wa Madrasa Click to expand... Na kombaini ya madreva Tax wa Cairo.
ngara23 said: Makolo wako Egypt wanacheza na watoto wa Madrasa Click to expand... Na kombaini ya madreva Tax wa Cairo.
dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 Jul 31, 2024 #5 GENTAMYCINE said: Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M? Click to expand... kuna vitu wanasimba mnatakiwa msheherekee mapema kwani ligi ikifikaga kati mnapoteanaga,hapo ndipo mnapokumbukaga hadi zile b20
GENTAMYCINE said: Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M? Click to expand... kuna vitu wanasimba mnatakiwa msheherekee mapema kwani ligi ikifikaga kati mnapoteanaga,hapo ndipo mnapokumbukaga hadi zile b20
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jul 31, 2024 #6 Kumbe hata Kibu anaweza kuwadhamini