GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC.
Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL )au?
Mkiambiwa kuwa mna shida kubwa vichwani mwenu na kwamba bado mnalazimika Kujifunza mengi ( hasa ya Kimataifa) kwa Simba SC, mnaona mnatukanwa na kudhalilishwa.