GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Maneno ya mkosaji.Yanga imewekeza zaidi kwa ajili ya kuifunga Simba, wakishinda 23 oktoba wanabeba na kombe la caf champion
Kinyoooonge!!!!Maneno ya mkosaji.
Kinyoooonge!!!!
why unahangaika na yanga?wewe ungejali timu yako bro"Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" Mashabiki wa Yanga SC.
Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na Kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au?
Mkiambiwa kuwa mna shida kubwa Vichwani mwenu na kwamba bado mnalazimika Kujifunza mengi ( hasa ya Kimataifa ) kwa Simba SC mnaona Mnatukanwa na Kudhalilishwa.
Mkuu mbona unawasimanga utopolo wenzio😂"Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" Mashabiki wa Yanga SC.
Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na Kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au?
Mkiambiwa kuwa mna shida kubwa Vichwani mwenu na kwamba bado mnalazimika Kujifunza mengi ( hasa ya Kimataifa ) kwa Simba SC mnaona Mnatukanwa na Kudhalilishwa.
Taahira ambaye Wewe Mzima unachukua muda wako Kumfuatilia Kutwa hapa JamiiForums? Nikiwaambia hamna Akili mnabisha na Kukasirika.Popoma katika ubora wako wa utaahira