MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Mataga wanazidi kuwekwa bench
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuambia niite upendavyo kwangu hamna shida nyie mlichoumia wafuasi wenu wa zamani kupewa vyeo.
Fikra duni sana kutoka kwa mtu duni. Hivi mtu kutokuwa DC, anateseka na nini? Wewe ambaye siyo DC, ina maana upo katika mateso.Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Nchi hii inaonesha kuna maskini wengi wa akili kuliko mali. Hivi uDC, nao ni cheo kikubwa sana, hata watu wamwonee wivu mtu. DC mshahara wake sh 4m, yaani milioni 4, nayo kweli ni hela ya kuweza kukubadilisha katika maisha yako? 4m, ni wastani wa kama 40m kwa mwaka, na wewe unajiona umefanikiwa sana.Pro-Chadema walichoumia ni wale wafuasi wao wa zamani kupewa vyeo hamna lingine.
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Mimi binafsi, kwa dhamira ya moyo kabisa, siwezi hata kuufikiria uteuzi wa uDC. Ni straight answer, NO. Yaani mtu na hekima yako, na professionalism yako, ukawekwe kundi moja na watu ambao hawana ujuzi wowote zaidi ya kupiga mapambio, unprecedented disgrace!Mkuu mimi malalamiko yangu ni kuwa nimeteuliwa na sitaki kwanza nashangaa jina langu limefikaje fikaje huko mboga mboga. Kumuunga Samia nkono ni kutokana na ukweli kuwa tulikuwa tumezamishwa topeni na mama anaonekana kutukwamua tena imetokea kama muujiza ila siyo kuomba hivi vyeo vyake!
Vijana wenyewe, ndiyo hao akina Mashinji? Siku hizi age limit ya ujana ni miaka mingapi?Rais alisema nia yake ni kuwapa ''vijana wa Tanzania'' nafasi za uongozi. Uteuzi umeonyesha kuwa kinachoitwa ''vijana wa Tanzania'' ni ''wajanja'' wachache wanaozuga mjini! Hivi huko vijijini hakuna vijana wenye uwezo wa uongozi? Kwa nini iwe lazima kuteua ''wajanja'' wanaozuga mjini na kuwadharau wa vijijini?
Hawalalamiki bali wanashangaa inakuwaje vilaza wanateuliwa na kuacha majembe? Lengo letu wote ni maendeleo sasa unapokuwa na viongozi wasio na dira mashaka yanakuwepo. Inaelekea Mama anataka kuwa na kikosi cha kumsujudu na kukiburuza!Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
utawala wa ''makafiri'' kuondoka
Tuwekee malalamiko yao hapa,huenda Yana mashiko kushindwa kufanya hivyo tutakuhesabu kama mmoja wa wawawinda teuzi uliyeangukia pua.Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Mbona nanaleta ubagizi wa kiitikadi hapa au alikuwa mwindaji wa uteuzi akaambulia mshale wa ugoko.Acha utoto dogo.
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Mzee umerudi tena kwa ile ID yako nyingine baada ya utawala wa ''makafiri'' kuondoka? Karibu sana kwani namna Magufuli alikuwa ametubana wengi.
unapingana na nyumbu wengine wanaoshinda wakizomea watu humu kwamba hawajapata uteuzi.Nani anakujua kwa hii Id fake? Yoyote anaweza kusema amepata cheo chochote, ungekuwa verified user hapo sawa.
Hata dada yake faizafox alikuja hapa na kukiri kuwa jiwe hakuwa mtu kabisa.Mzee umerudi tena kwa ile ID yako nyingine baada ya utawala wa ''makafiri'' kuondoka? Karibu sana kwani namna Magufuli alikuwa ametubana wengi.