Ndg uliendaga wapi enzi za JPM? Hukuoenekana JF hadi baada ya kifo chake. Kwanini uwepo wake ulikuwa chukizo kwako?Rais akifanya vibaya nyie Chadema si ndiyo mnapata Credit au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg uliendaga wapi enzi za JPM? Hukuoenekana JF hadi baada ya kifo chake. Kwanini uwepo wake ulikuwa chukizo kwako?Rais akifanya vibaya nyie Chadema si ndiyo mnapata Credit au?
unapingana na nyumbu wengine wanaoshinda wakizomea watu humu kwamba hawajapata uteuzi.
sijui wanajuaje!!
Unaweza kuwapa vyeo vijana wote waliopo Tanzania na kila mmoja akapata cha kwake?.Rais alisema nia yake ni kuwapa ''vijana wa Tanzania'' nafasi za uongozi. Uteuzi umeonyesha kuwa kinachoitwa ''vijana wa Tanzania'' ni ''wajanja'' wachache wanaozuga mjini! Hivi huko vijijini hakuna vijana wenye uwezo wa uongozi? Kwa nini iwe lazima kuteua ''wajanja'' wanaozuga mjini na kuwadharau wa vijijini?
Mkuu laiti ungekuwa unajua huyo uliyemtaja ni nani ungebaki kinywa wazi! Je, unamwona aki-contribute tena mara kwa mara siku hizi? Siku za karibuni alijifanya kuanzisha thread usiku wa manane halafu akapotea. Anyways, pengine ni hisia zangu tu lakini it's worth to do a reasearch about the matter for yourself!Hata dada yake faizafox alikuja hapa na kukiri kuwa jiwe hakuwa mtu kabisa.
Nani kasema unaweza ukawapa vyeo vijana wote waliopo Tanzania? Ukijibu tutaendelea na mjadala.Unaweza kuwapa vyeo vijana wote waliopo Tanzania na kila mmoja akapata cha kwake?.
Mkuu, kila mtu anayo riziki yake chini ya jua. Kulalamika hakuna msaada wowote ule, ukifika wakati wako na wewe utapata kilicho halali yako.Nani kasema unaweza ukawapa vyeo vijana wote waliopo Tanzania? Ukijibu tutaendelea na mjadala.
Nauliza tena: Ni nani amesema kuwa unaweza kumpa nafasi ya uteuzi kila kijana wa Tanzania?Mkuu, kila mtu anayo riziki yake chini ya jua. Kulalamika hakuna msaada wowote ule, ukifika wakati wako na wewe utapata kilicho halali yako.
Issue siyo hiyo mkuu. Wanachosema watu si haki kumpandisha cheo mtu anayeanza kazi leo wakati hata mwaka hajamaliza. Mimi niliye na experience na naijua kampuni vizuri na nimeitumikia kwa uaminifu naachwa solemba. Isotoshe huyu anaaminika kweli? Kwanza alikuwa anaipinga kampuni sana akitetea washindani. Si haki.Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Kaka riziki ipo kwa kila mtu, achana na hii roho ya kwanini.Nauliza tena: Ni nani amesema kuwa unaweza kumpa nafasi ya uteuzi kila kijana wa Tanzania?
Mkuu laiti ungekuwa unajua huyo uliyemtaja ni nani ungebaki kinywa wazi! Je, unamwona aki-contribute tena mara kwa mara siku hizi? Siku za karibuni alijifanya kuanzisha thread usiku wa manane halafu akapotea. Anyways, pengine ni hisia zangu tu lakini it's worth to do a reasearch about the matter for yourself!
Mimi sitegemei kuwa kiongozi wa kuteiliwa au mwanasiasa hata siku moja kwenye maisha yangu. Hivyo hili la kusema kuwa nina roho ya kwa nini lifute. Kinachonikondesha mimi ni kuona watu wanaoishi maisha ya kisanii ndiyo wanaonekana kama wanafaa uongozi. Haya mambo athari zake zinakwenda mbali kuliko unavyodhani. Watoto wanaokuwa na vijana waliobaki wanajifunza nini? Kuwa ili ufanikiwe inabidi uishi kisanii sanii? Unadhani wataona umuhimu wa kuishi maisha ya uchapakazi? Na hao wanaochaguliwa wewe unadhani wanakwenda kusaidia lolote kwenye jamii? Hebu chukuwa mfano wa mtu kama Makonda au huyo sijui Jokate. Wamefanya nini cha maana muda wote wa uongozi wao? Tupohoji hatuoni wivu ila tunaitakia mema nchi na watu wake.Kaka riziki ipo kwa kila mtu, achana na hii roho ya kwanini.
Ritz Alizikwa awamu ya 5 karudi awamu ya 6
Sasa kama unajua hawajawahi furahishwa kwenye teuzi zote sasa unalalamika kitu gani?Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Hivi leak maana yake ni kuvuja? Unavuja au unavujiwa?!Ukiona hivyo ujue wakina MANKA, MUSHI, MAMASSAWE HAWAJAWAONA.
Mama alichofanya ni kutumia tofali lile lile alilotumia lema kumpiga Mwigamba kichwani na kazimia na yeye katumia tofali lile kuwapiga chadema kichwani na sasa wana tapatapa kabla ya kuzimia rasmi.
Wamepigwa na kitu kizito kichwani
Kama unaamini chadema wamepigwa na kitu kizito kichwani gonga like au coment kwa kusema hiiiiiiiiii