Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

Mimi sio chadema lakini najiuliza baadhi tu ya wateuliwa walikua na mchango gani Kwa chama na serikali mpaka kudeserve hizo nafasi, unakaa unajiuliza unakosa majibu.

Walifanya nini for general elections 2020, 2015??

Mfano mtu kama Basila Mwanukuzi, amechaguliwa Kwa merits au kwakua tu Kuna other factors??

Tunalipeleka wapi hili Taifa??

Hata wewe mleta mada sijakuona hapa jamvini tangu 2015 kutetea chama na serikali, Ila nahisi kilichokurudisha ni mahaba ya dini Kwa kiongozi wa sasa,

Binafsi I am saddened by the current issues transpiring in our country.
Hapana Ritz hakuwepo jukwaani kwa sababu, awamu ya 5 ilimbana! Msoga hoyeee!!
 
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Rais kapanga mkeka wake wakizingua watazinguana 'Her excellence can not please every Jim and Jack '
 
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Tatizo Pro Chadema wanaamini katika ulipizaji VISASI.
Sasa kilichotokea leo kimewachanganya Sana BAVICHAA.

Wakati wakifurahia UTESI dhidi ya SABAYA!

Mama yao Ameuma na Kupuliza!
 
Mkuu laiti ungekuwa unajua huyo uliyemtaja ni nani ungebaki kinywa wazi! Je, unamwona aki-contribute tena mara kwa mara siku hizi? Siku za karibuni alijifanya kuanzisha thread usiku wa manane halafu akapotea. Anyways, pengine ni hisia zangu tu lakini it's worth to do a reasearch about the matter for yourself!
Faizerfox ndo Mazaa mwenyewe?!
 
Tatizo Pro Chadema wanaamini katika ulipizaji VISASI.
Sasa kilichotokea leo kimewachanganya Sana BAVICHAA.

Wakati wakifurahia UTESI dhidi ya SABAYA!

Mama yao Ameuma na Kupuliza!
Kinacho fanyika dhidi ya Sabaya siyo UTESI mkuu, ni procedure za kisheria, za nchi na nature kwa ujumla!
 
Kweli ww ni bonge la kilaza, naona umejibu kwenye nyuzi kule umeona haitoshi, umeamua kuanzisha uzi kabisa kuweka hasira zako wazi. Hao maDC wametangazwa jana, hivyo leo ndio habari kuu, je ni wapi hoja ya katiba mpya imesimama kisa kuna maDC wametangazwa?
Mkuu kwa nini Mmeumia sana kwenye huu uteuzi?
 
Chadema wajinga sana!

Kwani walifikiri wameshampatia mama na watamuendesha watakavyo?
 
Dogo siku hizi una msongo wa mawazo sana badala ya kujenga hoja.Kua dogo
Umewakimbia mabasha huko bar baada ya kuwanywea, saa hii wanataka ukawape hilo tope hutaki, halafu unakuja kutusaka mabasha wastaafu huku jukwaani. Utapata unachokitaka.
 
Mkuu kwa nini Mmeumia sana kwenye huu uteuzi?

Sina popote nilipoumia na wala siwezi kuumia kwa cheo cha uDC. Tunajadili huu uteuzi leo maana ndio habari kubwa, kesho na kuendelea tutakuwa na mijadala mingine.
 
Dogo siku hizi una msongo wa mawazo sana badala ya kujenga hoja.Kua dogo

Niko hapa jukwaani 10yrs now, tafuta popote nilipowahi kuwa na msongo wa mawazo. Huu ndio uchangiaji wangu since day one. Yaani kwa maneno marahisi nina muendelezo wa kile ninachokiamini.
 
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Wanaolalamika ni WAFIA CHAMA CCM
 
Kumbe na wewe uko hivyo, I had a wrong conception of you
 
Umewakimbia mabasha huko bar baada ya kuwanywea, saa hii wanataka ukawape hilo tope hutaki, halafu unakuja kutusaka mabasha wastaafu huku jukwaani. Utapata unachokitaka.
we kahaba tulia,usilete hasira zako hapa za kukosa madanga.

na bado mbwa nyinyi,mbona mtajifunza kwa njia ngumu sana,mliowaita wasaliti haoo wanakula maisha,nyinyi endeleeni kusajiri wapiga kula online,mje mfungue chama kingine mtandaoni.
 
Nimecheka kwa nguvu ulivyopanic.
 
Huyu ritz na FaizaFoxy ndio walikuwa watetezi wakubwa enzi za JK, wakipotosha kuwa anakosolewa kisa ni muisilamu. Hawa ni watu walioumizwa sana wakati wa awamu ya dhalimu, kwani ndio waliokuwa wakitupiga. Na sasa wanamtetea huyu mama kwa kificho kile kile kuwa mama ni msikiti.
 
Mimi sio chadema lakini najiuliza baadhi tu ya wateuliwa walikua na mchango gani Kwa chama na serikali mpaka kudeserve hizo nafasi, unakaa unajiuliza unakosa majibu.

Walifanya nini for general elections 2020, 2015??

Mfano mtu kama Basila Mwanukuzi, amechaguliwa Kwa merits au kwakua tu Kuna other factors??

Tunalipeleka wapi hili Taifa??

Hata wewe mleta mada sijakuona hapa jamvini tangu 2015 kutetea chama na serikali, Ila nahisi kilichokurudisha ni mahaba ya dini Kwa kiongozi wa sasa,

Binafsi I am saddened by the current issues transpiring in our country.
Shida inaanzia hapa,pale mnapowatetea watawala na chama Hadi mnawakera hata watawala wenye na chama chenu,hivyo inafika mahalo wanawaona hamfai.
 
Back
Top Bottom