Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

Rais akifanya vibaya nyie Chadema si ndiyo mnapata Credit au?
Ndg uliendaga wapi enzi za JPM? Hukuoenekana JF hadi baada ya kifo chake. Kwanini uwepo wake ulikuwa chukizo kwako?
 
unapingana na nyumbu wengine wanaoshinda wakizomea watu humu kwamba hawajapata uteuzi.

sijui wanajuaje!!

Umewakimbia mabasha huko bar baada ya kuwanywea, saa hii wanataka ukawape hilo tope hutaki, halafu unakuja kutusaka mabasha wastaafu huku jukwaani. Utapata unachokitaka.
 
CHADEMA wanamuwekea mtimanyongo Diamond hawawezi kushindwa kulalamikia uteuzi wa wakuu wa wilaya.

Wanaharakati siku zote hutekwa na masuala ya muda, hawana ile mitazamo yenye kutazama miaka mingi ijayo.
 
Unaweza kuwapa vyeo vijana wote waliopo Tanzania na kila mmoja akapata cha kwake?.
 
Hata dada yake faizafox alikuja hapa na kukiri kuwa jiwe hakuwa mtu kabisa.
Mkuu laiti ungekuwa unajua huyo uliyemtaja ni nani ungebaki kinywa wazi! Je, unamwona aki-contribute tena mara kwa mara siku hizi? Siku za karibuni alijifanya kuanzisha thread usiku wa manane halafu akapotea. Anyways, pengine ni hisia zangu tu lakini it's worth to do a reasearch about the matter for yourself!
 
Nani kasema unaweza ukawapa vyeo vijana wote waliopo Tanzania? Ukijibu tutaendelea na mjadala.
Mkuu, kila mtu anayo riziki yake chini ya jua. Kulalamika hakuna msaada wowote ule, ukifika wakati wako na wewe utapata kilicho halali yako.
 
Mkuu, kila mtu anayo riziki yake chini ya jua. Kulalamika hakuna msaada wowote ule, ukifika wakati wako na wewe utapata kilicho halali yako.
Nauliza tena: Ni nani amesema kuwa unaweza kumpa nafasi ya uteuzi kila kijana wa Tanzania?
 
Issue siyo hiyo mkuu. Wanachosema watu si haki kumpandisha cheo mtu anayeanza kazi leo wakati hata mwaka hajamaliza. Mimi niliye na experience na naijua kampuni vizuri na nimeitumikia kwa uaminifu naachwa solemba. Isotoshe huyu anaaminika kweli? Kwanza alikuwa anaipinga kampuni sana akitetea washindani. Si haki.
 

Huwa sipotezi muda kujua nani ni nani kwa hizi fake Id, japo huwa naweza kuguess kutokana na mtiririko wa mchangiaji kuweza kujua ni kiongozi, mwanausalama, ccm, mpinzani nk. Ninachojua humu ndani tunao mpaka viongozi, na vipande vizito huwa tunawapa humu jukwaani.
 
Kaka riziki ipo kwa kila mtu, achana na hii roho ya kwanini.
Mimi sitegemei kuwa kiongozi wa kuteiliwa au mwanasiasa hata siku moja kwenye maisha yangu. Hivyo hili la kusema kuwa nina roho ya kwa nini lifute. Kinachonikondesha mimi ni kuona watu wanaoishi maisha ya kisanii ndiyo wanaonekana kama wanafaa uongozi. Haya mambo athari zake zinakwenda mbali kuliko unavyodhani. Watoto wanaokuwa na vijana waliobaki wanajifunza nini? Kuwa ili ufanikiwe inabidi uishi kisanii sanii? Unadhani wataona umuhimu wa kuishi maisha ya uchapakazi? Na hao wanaochaguliwa wewe unadhani wanakwenda kusaidia lolote kwenye jamii? Hebu chukuwa mfano wa mtu kama Makonda au huyo sijui Jokate. Wamefanya nini cha maana muda wote wa uongozi wao? Tupohoji hatuoni wivu ila tunaitakia mema nchi na watu wake.
 
Ritz Alizikwa awamu ya 5 karudi awamu ya 6

Huyu ritz na FaizaFoxy ndio walikuwa watetezi wakubwa enzi za JK, wakipotosha kuwa anakosolewa kisa ni muisilamu. Hawa ni watu walioumizwa sana wakati wa awamu ya dhalimu, kwani ndio waliokuwa wakitupiga. Na sasa wanamtetea huyu mama kwa kificho kile kile kuwa mama ni msikiti.
 
Mimi sio chadema lakini najiuliza baadhi tu ya wateuliwa walikua na mchango gani Kwa chama na serikali mpaka kudeserve hizo nafasi, unakaa unajiuliza unakosa majibu.

Walifanya nini for general elections 2020, 2015??

Mfano mtu kama Basila Mwanukuzi, amechaguliwa Kwa merits au kwakua tu Kuna other factors??

Tunalipeleka wapi hili Taifa??

Hata wewe mleta mada sijakuona hapa jamvini tangu 2015 kutetea chama na serikali, Ila nahisi kilichokurudisha ni mahaba ya dini Kwa kiongozi wa sasa,

Binafsi I am saddened by the current issues transpiring in our country.
 
Sasa kama unajua hawajawahi furahishwa kwenye teuzi zote sasa unalalamika kitu gani?

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Hivi leak maana yake ni kuvuja? Unavuja au unavujiwa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…