Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Mafunzo ya nn?Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je na wenyewe pia wanatozwa? Ufafanuzi
Mkuu hii simu yangu ya sasa haifungui Pm kabisa.Mafunzo ya nn?
MBONA IMETUMIKA LUGHA NYEPESI SANA BOSI, mafunzo kwa njia ya vitendo ni kitu kinachoeleweka sana ( kwa kiingereza Field attachment) bila kujali ni mafunzo gani. Ukitoa mafunzo ambayo yanahusisha vikosi vya ulinzi na usalamaMafunzo ya nn?
soma nilichokiandika hakuna sehemu nimeongea kuhusu kitambulisho. Kabla huja comment elewa content.Kwanini ulifika Zanzibar kwa kitambulisho?
Kweli kabisa Tena na vibali lukuki approximately wanalipa kama laki2-3 hivi ni aibu kubwa, wazanzbari wote ni machoko tu masalia ya watumwaMimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je na wenyewe pia wanatozwa? Ufafanuzi
Mafunzo ya vitendo kwenye nyanja gani? Wewe hiyo 150 unalipa wizarani au unalipa kwa nan? Na yeye anahusika vipi na mafunzo yako ya vitendo?soma nilichokiandika hakuna sehemu nimeongea kuhusu kitambulisho. Kabla huja comment elewa content.
Poa poaMkuu hii simu yangu ya sasa haifungui Pm kabisa.
nawewe ndio kubwa la hao machokoKweli kabisa Tena na vibali lukuki approximately wanalipa kama laki2-3 hivi ni aibu kubwa, wazanzbari wote ni machoko tu masalia ya watumwa
Wengi watakuwa vi course vidogo vidogo vya mambo ya hotel u waiter ,nkW
Mafunzo ya vitendo kwenye nyanja gani? Wewe hiyo 150 unalipa wizarani au unalipa kwa nan? Na yeye anahusika vipi na mafunzo yako ya vitendo?
Mafunzonya sekta gani? Mbona hamjibu maswali ya watu? Mafunzo ya nn? Kama unaweza kuyapata huko ulipo kwa nn uje kulipa hela zanzibar?Kweli kabisa Tena na vibali lukuki approximately wanalipa kama laki2-3 hivi ni aibu kubwa, wazanzbari wote ni machoko tu masalia ya watumwa
sasa kama wanaweza kuipata hiyo kozi huko dar bure si wafanye. Watu tumelipa na maisha yanaenda. Hypersonic na Pang Fung Mi mnabalehe?Wengi watakuwa vi course vidogo vidogo vya mambo ya hotel u waiter ,nk
Mana hiyo kozi sio lazima ikiwezekana wasome tu hotel management huko dar laki 6 sita wasije hku. Hizo ni maalum kwq short cut tu yani watu wengi wasio na back ground ya kupita kwenye industry ya utalii na hospitality wanapiga hizo. Na hizo hela anakula dalali ni kama takrima tuWengi watakuwa vi course vidogo vidogo vya mambo ya hotel u waiter ,nk
Sijaelewa Kwa mfano mwanafunzi ameenda kufanya field ofisi ya halimashauri ya Dole anatakiwa alipiee si ndio?Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je na wenyewe pia wanatozwa? Ufafanuzi
Wewe ndio hujaelewa comment yangu.soma nilichokiandika hakuna sehemu nimeongea kuhusu kitambulisho. Kabla huja comment elewa content.
Hawa wanataka kupiga kozi za vitendo za hotel sasa hawataki kutoa takrima kwa dalali. Wanajua hiyo hela inalipwa kwa SMZSijaelewa Kwa mfano mwanafunzi ameenda kufanya field ofisi ya halimashauri ya Dole anatakiwa alipiee si ndio?
Hiyo pesa anapewa account namba ya serikali ya ZNZ au anampa nani?