MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
zanzibar kazi nyingi/mafunzo kwa vitendo hususan mahotelini zipo chini ya madalali na izo pesa zinachukuliwa na madalali sio SMZ, acha upotoshaji.
izo pesa zinatumika kutafuta vibali kama barua ya sheha, medical examination form, kibali kutoka kamisheni ya utalii n.k bila kusahau ganji ya dalali
izo pesa zinatumika kutafuta vibali kama barua ya sheha, medical examination form, kibali kutoka kamisheni ya utalii n.k bila kusahau ganji ya dalali