MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Yah ni kweli kule Zanzibar Taasisi Binafsi za kueleweka.Wengi watakuwa vi course vidogo vidogo vya mambo ya hotel u waiter ,nk
Kafuatilie muongozo wa utalii wa Zanzibar ambao umeanza kutumika mwezi wa 9, siongelei hicho unachokifikiria wewe. Huu ni utaratibu wa kiserikali kwanza ni lazima trainee akaombe kibali cha kufanya mafunzo kwa njia vitendo kutoka kamisheni ya utalii na baada ya kupewa kibali anatakiwa aende tena kamisheni ya utalii Zanzibar ili kulipia kibali husika ambapo gharama yake ni hiyo laki na hamisini. Hao unaowasema kuwa wanapitia kwa madalali ni wale ambao hawajasomea mambo ya hoteli na wanahitaji kufanya mafunzo kwa vitendo moja kwa moja na kisha wapate vyeti. Narudia tena naongelea wanafunzi kutoka vyuo vya Bara kwa nini watozwe gharama za mafunzo kwa vitendo? Mfano mzuri chuo kama National College of Tourism kimekuwa hakipeleki tena wanafunzi wake Zanzibar kwa sababu hakiko tayari kulipa hizo gharama ukizingatia kile ni chuo cha Wizara pia. Hivo elewa kwanza msingi wa hoja yanguMana hiyo kozi sio lazima ikiwezekana wasome tu hotel management huko dar laki 6 sita wasije hku. Hizo ni maalum kwq short cut tu yani watu wengi wasio na back ground ya kupita kwenye industry ya utalii na hospitality wanapiga hizo. Na hizo hela anakula dalali ni kama takrima tu
Hujaelewa fuatilia vizuri ama pitia kamisheni ya utalii ulizia sera mpya ya utalii iliyoanza kutumika mwezi wa 9 mwaka jana. Achana na hao madalali ambao wana deal na makajanja ambao hawajaenda vyuo na wanataka kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo. Mimi naongelea wale wanafunzi wanaoletwa ama kuombewa na vyuo. Kwanini wale kutoka bara wanalipishwa?zanzibar kazi nyingi/mafunzo kwa vitendo hususan mahotelini zipo chini ya madalali na izo pesa zinachukuliwa na madalali sio SMZ, acha upotoshaji.
izo pesa zinatumika kutafuta vibali kama barua ya sheha, medical examination form, kibali kutoka kamisheni ya utalii n.k bila kusahau ganji ya dalali
Huko halmshauri sijui nimeongelea kamisheni ya utalii ambapo pesa hiyo inalipwa serikalini kwa control numberSijaelewa Kwa mfano mwanafunzi ameenda kufanya field ofisi ya halimashauri ya Dole anatakiwa alipiee si ndio?
Hiyo pesa anapewa account namba ya serikali ya ZNZ au anampa nani?
Kwan lazima uje zanzibar mzee? Hoja yako ina msingi gan kama hiyo field unaweza kupata bara?. Wewe umesomea utalii komaa na golden tulip pale posta usisumbue watu tushashiba urojo sahii tunakuna wake zetuKafuatilie muongozo wa utalii wa Zanzibar ambao umeanza kutumika mwezi wa 9, siongelei hicho unachokifikiria wewe. Huu ni utaratibu wa kiserikali kwanza ni lazima trainee akaombe kibali cha kufanya mafunzo kwa njia vitendo kutoka kamisheni ya utalii na baada ya kupewa kibali anatakiwa aende tena kamisheni ya utalii Zanzibar ili kulipia kibali husika ambapo gharama yake ni hiyo laki na hamisini. Hao unaowasema kuwa wanapitia kwa madalali ni wale ambao hawajasomea mambo ya hoteli na wanahitaji kufanya mafunzo kwa vitendo moja kwa moja na kisha wapate vyeti. Narudia tena naongelea wanafunzi kutoka vyuo vya Bara kwa nini watozwe gharama za mafunzo kwa vitendo? Mfano mzuri chuo kama National College of Tourism kimekuwa hakipeleki tena wanafunzi wake Zanzibar kwa sababu hakiko tayari kulipa hizo gharama ukizingatia kile ni chuo cha Wizara pia. Hivo elewa kwanza msingi wa hoja yangu
Taifa la Tanzania linahitaji maombi kwa sababu limepoteza kizazi cha kuhoji badala yake lina kizazi cha machawa wengi. Mimi sihitaji kazi bali nahoji na ukiangalia na kutafakari kwa makini hoja yangu ina mashiko lakini kwa kuwa uwezo wako umeishia hapo nikuache uendelee. Lakini tambua elimu ni mojawapo ya masuala ya muungano, ndo maana tunafanya mtihani mmoja chini ya baraza la mtihani, tuko wote chini ya NACTEVET na TCU. Tuko chini ya board moja ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu ( HESLEB) Na wakati huo huo wao wazanzibar wana haki zote za muungano. Kuna nafasi za TRA nao wanaruhusiwa kuomba lakini wa BARA harusuwi kuomba kazi ZRB, Tuna wanzanzibar wakuu wa wilaya, mikoa na mawazili. Kuna haja gani ya kuita Muungano? Kuna upuuzi mwingi mwingi chini ya mwamvuli wa Muungano na ndo maana si ajabu Polisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Zanzibar anakukamata kwa kuendesha gari ukitumia leseni ya JMTKwan lazima uje zanzibar mzee? Hoja yako ina msingi gan kama hiyo field unaweza kupata bara?. Wewe umesomea utalii komaa na golden tulip pale posta usisumbue watu tushashiba urojo sahii tunakuna wake zetu
Sema tu muungano unakufurukuta bas. Taratibu za wazanzibar wanaziweza wenyewe mana ni nchi iliyokamilika kikatiba. Yani kisa wewe huna 150k kulipa unataka muungano utenganishwe? Umerogwa?Taifa la Tanzania linahitaji maombi kwa sababu limepoteza kizazi cha kuhoji badala yake lina kizazi cha machawa wengi. Mimi sihitaji kazi bali nahoji na ukiangalia na kutafakari kwa makini hoja yangu ina mashiko lakini kwa kuwa uwezo wako umeishia hapo nikuache uendelee. Lakini tambua elimu ni mojawapo ya masuala ya muungano, ndo maana tunafanya mtihani mmoja chini ya baraza la mtihani, tuko wote chini ya NACTEVET na TCU. Tuko chini ya board moja ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu ( HESLEB) Na wakati huo huo wao wazanzibar wana haki zote za muungano. Kuna nafasi za TRA nao wanaruhusiwa kuomba lakini wa BARA harusuwi kuomba kazi ZRB, Tuna wanzanzibar wakuu wa wilaya, mikoa na mawazili. Kuna haja gani ya kuita Muungano? Kuna upuuzi mwingi mwingi chini ya mwamvuli wa Muungano na ndo maana si ajabu Polisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Zanzibar anakukamata kwa kuendesha gari ukitumia leseni ya JMT
Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je na wenyewe pia wanatozwa? Ufafanuzi
Huyo bila shaka ni wale wanaoenda kufanya field mahotelini huko ndipo Kuna huo utaratibu na sio kwamba ni official Bali watu tu wamejiongeza wakaona wale Kwa urefu wa kamba YaoSijaelewa Kwa mfano mwanafunzi ameenda kufanya field ofisi ya halimashauri ya Dole anatakiwa alipiee si ndio?
Hiyo pesa anapewa account namba ya serikali ya ZNZ au anampa nani?
Wewe bila shaka ni mmojawapo wa hao madalalizanzibar kazi nyingi/mafunzo kwa vitendo hususan mahotelini zipo chini ya madalali na izo pesa zinachukuliwa na madalali sio SMZ, acha upotoshaji.
izo pesa zinatumika kutafuta vibali kama barua ya sheha, medical examination form, kibali kutoka kamisheni ya utalii n.k bila kusahau ganji ya dalali
kwa kili zako mgando una kila sababu ya kusema ivoWewe bila shaka ni mmojawapo wa hao madalali
Kwann ukafanyie zanzibar na wala usiende kigoma mbeya kama umekuta utaratibu mahal fuata ama rudi kwenu sio kujiliza kama mdada mtandaoniMimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je na wenyewe pia wanatozwa? Ufafanuzi
Du mbona nimeeleza sana, kwa ufupi sana hii hela inalipwa kamisheni ya utalii ZANZIBAR. OVEREmbu tueleweshe vizuri. Hicho kiasi kinalipwa kwa taasisi wanayofanyia mafuzo kwa vitendo au chuoni kama gharama za mafunzo kwa vitendo?
Unaonaje kama usawa huu utakuwa kwa pande zoteKwann ukafanyie zanzibar na wala usiende kigoma mbeya kama umekuta utaratibu mahal fuata ama rudi kwenu sio kujiliza kama mdada mtandaoni