Kwanini wanafunzi wa International schools wao huwa hawatolewi Darasani kwenda kushangilia watawala

Jana pia niliuza Kwenye comment wa Uzi flani ,kwann hawa wtt wa international hawendagi Kwenye hayo matamasha ya CCM Wala walimu wao..
Hizo shule wanajitambua ni kama cha TLS.St Kayumba ni kama cha Wakandarasi au chama cha Waalimu.
 
Wazazi wa wanafunzi wa international school wanamaamuzi ya nchi.kwa hiyo hawawezi kukubali watoto wao kuvurugwavurugwa na CCM.Wazazi wao ndiyo hao watoto wa mawaziri Mfano mwigulu nchemba au mtoto wa GSM aende kushangilia mkutano wa CCM?Hizi shule za kayumba zimeandaliwa Kwa ajili ya tabaka la kutawaliwa ndiyo maana wanapelekeshwa kupokea rais ili kujaza watu aonekane anapendwa na kuendelea kuwajaza maujinga ili wawe na ufikiri mdogo. Kipindi tunasoma enzi zetu tuliimbishwa nyimbo za kijinga za kuaminishwa idd amini alikuwa anakula nyama za watu kumbe uongo mtupu.
Kabisa
 
Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia.

Wazazi wa watoto wanao soma hizi shule za Internationa schools hawawesi kubaliana na ujinga huu wa kuwatoa Darasani watoto wao eti wakamfurahishe Samia.

Kumbuka wazazi hawa ni wajanja na watoto wao ni wajanja pia na walimu ni wajanja pia.

Hizi shule pia usisahau pia kwamba zinaandaa watoto watakao tawala wajinga wa nchi hii huwezi ona wao wanatolewa Darasani kwenda kushangilia watawala wa nchi hii kwa sababu wana jukumu moja tu kusoma ili watawale wajinga.

Mfano hizi shule utakuta wapo watoto wa Mwigulu Nchemba ambao kabla hatujafa lazima tushuhudie akitutawala sisi na watoto wetu na huenda na wajukuu zetu.

Sasa shule wanao soma wajinga wa hili taifa ndio hao lazima watolewe Darasani kwenda kushangilia watawala. Kumbuka pia Ujinga ni mtaji namba 2 wa CCM baada ya mtaji wa masikini.

Hizi shule zina wazazi wajinga sana + Wanafunzi full wajinga + Walimu Over Wajinga= Internationa Ujinga.

Na wazazi wa hizi shule kwa sababu ni wajinga wanakubaliana na watoto wao ambao ni full wajinga, waache kusoma waende kushangilia watawala.Yaani hapa kuna Cycle ya ujinga inazalishwa hapa.

Na last huwa watawala wanatufurahisha na matokeo, sasa hizi shule tukiona watoto wamepata Division 1 tunaelewa kwamba ndio elimu yenyewe kumbe ni ujinga mtupu.

Jiulize kwani watawawa hawataki watoto wao wawe Tanzania one au wapate Div 1? kwa nini wanawapeleka International? Jibu unalo.

Tuendelee kushangilia ujinga make ujinga ni jadi yetu.
MLIPA ZUMARI NDIYE MCHAGUA NYIMBO.

International School mlipa ada ni mzazi.

Government school mlipa ada ni serikali.

Ukibisha unalako jambo.
 
Yaani kweli kabisa ndugu yangu unataka kutuambia kuwa umewahi kuwaona wanafunzi wa Tanganyika international school wamejipanga barabarani wanangojea mwenge? Tafaadhali ndugu.
Ww ukisema hyo ndyo kutangaza shule mh syo kwl kwa mfano hz international school za uku Arusha saif wanazo mashndano yao ambayo kuna burund yaan East Africa nzma wanaleta kushndana nazo lakn hz kumtowa mtt umpeleke ajala hata aseme oyeeh syo kabsaa
 
Iko hv kama Huyo Rais akitaka hata hao International watoke wanatoka tu kwhyo hakuna cha kuwaona ety wanajielewa.

Hizi tabia za kupokea sjui mwenge ni ushamba
 
MLIPA ZUMARI NDIYE MCHAGUA NYIMBO.

International School mlipa ada ni mzazi.

Government school mlipa ada ni serikali.

Ukibisha unalako jambo.
Hii sio hoja, bila ada imekuja baada ya 2015
Hata wakati wazazi wanalipa ada shule za serikali bado wanafunzi wa shule hizo walikua wanahudhuria hiyo mikutano

Kuhudhuria sio lazima, na sababu ya kuhudhuria ukweli wanafunzi wengi wanapenda hiyo mikutano ya hivyo
 
Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia.

Wazazi wa watoto wanao soma hizi shule za Internationa schools hawawesi kubaliana na ujinga huu wa kuwatoa Darasani watoto wao eti wakamfurahishe Samia.

Kumbuka wazazi hawa ni wajanja na watoto wao ni wajanja pia na walimu ni wajanja pia.

Hizi shule pia usisahau pia kwamba zinaandaa watoto watakao tawala wajinga wa nchi hii huwezi ona wao wanatolewa Darasani kwenda kushangilia watawala wa nchi hii kwa sababu wana jukumu moja tu kusoma ili watawale wajinga.

Mfano hizi shule utakuta wapo watoto wa Mwigulu Nchemba ambao kabla hatujafa lazima tushuhudie akitutawala sisi na watoto wetu na huenda na wajukuu zetu.

Sasa shule wanao soma wajinga wa hili taifa ndio hao lazima watolewe Darasani kwenda kushangilia watawala. Kumbuka pia Ujinga ni mtaji namba 2 wa CCM baada ya mtaji wa masikini.

Hizi shule zina wazazi wajinga sana + Wanafunzi full wajinga + Walimu Over Wajinga= Internationa Ujinga.

Na wazazi wa hizi shule kwa sababu ni wajinga wanakubaliana na watoto wao ambao ni full wajinga, waache kusoma waende kushangilia watawala.Yaani hapa kuna Cycle ya ujinga inazalishwa hapa.

Na last huwa watawala wanatufurahisha na matokeo, sasa hizi shule tukiona watoto wamepata Division 1 tunaelewa kwamba ndio elimu yenyewe kumbe ni ujinga mtupu.

Jiulize kwani watawawa hawataki watoto wao wawe Tanzania one au wapate Div 1? kwa nini wanawapeleka International? Jibu unalo.

Tuendelee kushangilia ujinga make ujinga ni jadi yetu.
Wanao wanasoma wapiiiii wewe mkuu?
 
Wao ndo watawala wenyewe 😂 au unataka wakajishangilie
 
Si watoto wenu wanasoma bure kabisa uko government school.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Hawa shule za walala hoi hakuna ratiba?
Hakunaga ratiba ya siku kwa siku muhula mzima, wote tumesoma msingi na sekondari bongo!

Mnaweza ghafla kugongewa kengele ngele ngele ngele ngeleeeee.....!

Vipi, kulioni ? Tokeni madarasani amekuja Power Mabula, atavuta gari kwa meno!

Halafu masikini ya Mungu wazazi wetu enzi zile, they didn't give a crap, hakuna aliyekwenda kuwaambia walimu, jamani, ujio wa Power Mabula is all fine and dandy, but, kuna schedule ya Power Mabula ya kufuta masomo iliyopo toka January First ?

Sasa hawa viongozi wetu wote walisoma nje baadae, Mama Samia amesoma Uingereza, lakini masikini ya Mungu ameenda ukubwani, hakujifunza chochote cha kuheshimu schedule.

Ndo maana juzi kavuruga shughuli za east coast nzima, mpaka bandarini watu hawakwenda kazini on time, Samia kafunga njia mji mzima, anazindua li treni. Hawana aibu, treni lenyewe jana yake walisema akitua popo au ngedere treni linakata moto.
 
Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia.

Wazazi wa watoto wanao soma hizi shule za Internationa schools hawawesi kubaliana na ujinga huu wa kuwatoa Darasani watoto wao eti wakamfurahishe Samia.

Kumbuka wazazi hawa ni wajanja na watoto wao ni wajanja pia na walimu ni wajanja pia.

Hizi shule pia usisahau pia kwamba zinaandaa watoto watakao tawala wajinga wa nchi hii huwezi ona wao wanatolewa Darasani kwenda kushangilia watawala wa nchi hii kwa sababu wana jukumu moja tu kusoma ili watawale wajinga.

Mfano hizi shule utakuta wapo watoto wa Mwigulu Nchemba ambao kabla hatujafa lazima tushuhudie akitutawala sisi na watoto wetu na huenda na wajukuu zetu.

Sasa shule wanao soma wajinga wa hili taifa ndio hao lazima watolewe Darasani kwenda kushangilia watawala. Kumbuka pia Ujinga ni mtaji namba 2 wa CCM baada ya mtaji wa masikini.

Hizi shule zina wazazi wajinga sana + Wanafunzi full wajinga + Walimu Over Wajinga= Internationa Ujinga.

Na wazazi wa hizi shule kwa sababu ni wajinga wanakubaliana na watoto wao ambao ni full wajinga, waache kusoma waende kushangilia watawala.Yaani hapa kuna Cycle ya ujinga inazalishwa hapa.

Na last huwa watawala wanatufurahisha na matokeo, sasa hizi shule tukiona watoto wamepata Division 1 tunaelewa kwamba ndio elimu yenyewe kumbe ni ujinga mtupu.

Jiulize kwani watawawa hawataki watoto wao wawe Tanzania one au wapate Div 1? kwa nini wanawapeleka International? Jibu unalo.

Tuendelee kushangilia ujinga make ujinga ni jadi yetu.
Kuna English Medium na international school, Arusha kama kuna international school ni moja tu
 
Ukisha sema intaneshno schools manayake siyo ya serikali ndomana huwezi kuta walimu wa intaneshno wanabeba mabango mei mosi ….. ukisha kuwa mtumishi wa serikali wew ni mtumwa huna tofauti na mfungwa
 
Back
Top Bottom