Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
We mzazi unaemsomesha mtoto wako St kayumba hulipii hata senti 1 zaid ya kumnunulia mtoto wako bukta na daftari anafika hadi darasa la nne hajui mathematical table ukimwambia aimbe tabe ya 1 tu hajui unataka kujilinganisha na watoto wa IS?
Mtoto wako anaandaliwa kuwa mjinga kwahiyo tulia usijitingishe wakimfukuza hapo huna sehemu unaweza kumpeleka
Mtoto wako anaandaliwa kuwa mjinga kwahiyo tulia usijitingishe wakimfukuza hapo huna sehemu unaweza kumpeleka