Msimu wa maonesho ya sabasaba umewadia
Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda!
Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?!
Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru awabebe bure, halafu wewe ambaye huna cha gharama ya mafuta wanafunzi unawalipisha kama watu wazima kwa sababu gan?