Maonesho ya sabasabaWapi huko mkuu, tuje tuwazonee "woooooo"
Wanalipa nusu lakini, kwa hiyo ni sawa tu. Maonyesho ya Sabasaba ni ya biashara, mwanafunzi asome, biashara ataikuta akimaliza chuoMsimu wa maonesho ya sabasaba umewadia
Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda!
Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?!
Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru awabebe bure, halafu wewe ambaye huna cha gharama ya mafuta wanafunzi unawalipisha kama watu wazima kwa sababu gan?
Wanalipa nusu lakini, kwa hiyo ni sawa tu. Maonyesho ya Sabasaba ni ya biashara, mwanafunzi asome, biashara ataikuta akimaliza chuo
Yaani amalize chuo ndiyo akajifunze biashara duhBadala ajifunze biashara tangu mtoto wewe ni hadi umalize chuo.!
Kama lengo ni kujifunza biashara, basi aanze kujifunza kulipia huduma, alipe tu sh. 1,500/= ili ajue biashara ni kuuziana na kununulianaBadala ajifunze biashara tangu mtoto wewe ni hadi umalize chuo.!
Si lazima kila mtu awe mfanyabiashara, tunahitaji wazalishaji zaidi kuliko wafanyabiashara wasiozalisha bidhaa, wanafanya uchuuzi tu. Azingatie masomo, ajifunze kuzalisha, halafu biashara ya uzalishaji wake itajifanya tu yenyeweYaani amalize chuo ndiyo akajifunze biashara duh
Yale ni maonesho ya kimataifa, kujifunzaWatoto sio lazima kwenda 77 ila ni lazima kwenda shule halafu shule ni issue ya miaka kadhaa ya masomo 77 ni issue ya muda mfupi sana labda wiki moja tu.
Mwisho mtataka hadi mbususu wanafunzi wapewe kwa 200 kama kwenye daladala/mwendo kasi.
Sasa kama ni kujifunza lipa 1500 mwanao aende kama unashindwa mtafutie baba wa kukusaidia issue za pesa.Yale ni maonesho ya kimataifa, kujifunza
Kwa maoni yangu nauli za daladala na mwendokasi ziwe flat rate tu. Maana hawana adabu. Mtu mzima unapanda unakosa siti mwanafunzi amekaa amekukazia macho tu. What for?Msimu wa maonesho ya sabasaba umewadia
Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda!
Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?!
Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru awabebe bure, halafu wewe ambaye huna cha gharama ya mafuta wanafunzi unawalipisha kama watu wazima kwa sababu gan?
UnamwambiaKwa maoni yangu nauli za daladala na mwendokasi ziwe flat rate tu. Maana hawana adabu. Mtu mzima unapanda unakosa siti mwanafunzi amekaa amekukazia macho tu. What for?
Asante kwa ushauriSasa kama ni kujifunza lipa 1500 mwanao aende kama unashindwa mtafutie baba wa kukusaidia issue za pesa.
Kuna ubaya gani ukisaidiwa kwa mkeo mzee baba..?
1500 inakuuma mkeo unaweza kumwekea bando la data kweli?
Au anatumia simu ya kitochi iliyofungwa na mipira?
Jikaze aisee,wote hali zetu ni ngumu lakini lazima tupambane.
Watoto sio lazima kwenda 77 ila ni lazima kwenda shule halafu shule ni issue ya miaka kadhaa ya masomo 77 ni issue ya muda mfupi sana labda wiki moja tu.
Mwisho mtataka hadi mbususu wanafunzi wapewe kwa 200 kama kwenye daladala/mwendo kasi.
Jijibu mwenyewe!!Kwani wanafunzi pia wana hizo unazoita mbususu?
Humu kuna watu sijui hata kama wanawatotoJijibu mwenyewe!!