Kwanini Wanafunzi wakipanda Bus binafsi kwenda shule wanalipa 200; lakini kwenye maonesho ya serikali sabasaba wanalipishwa 1500

1300
tozo ya 7-7 mkuu hairudigi tena huo ndio mda wa kupiga mpaka mwakan wakimaliza
 
Kwa sababu ni wazi imekuwa rahisi kuwaonea wenye mabasi binafsi.

Jukumu la kulipia gharama za usafiri wa watoto sio la wafanya biashara binafsi. Jukumu la wafanyabiashara ni kulipa kodi.
 
Kwa sababu ni wazi imekuwa rahisi kuwaonea wenye mabasi binafsi.

Jukumu la kulipia gharama za usafiri wa watoto sio la wafanya biashara binafsi. Jukumu la wafanyabiashara ni kulipa kodi.
Kweli kabisa
 
Bei za vitu sabasaba zko promoted tu ukienda kkoo zko chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…