Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

Jamani hizi si harakati za majeshi yetu kujiongezea kipato,Inatulazimu tuhuzunike kwa vile vifo vimetokea,lakini wazo la kujitoa siliafiki.
 
Itakuwa kosa kubwa kutoa majeshi yetu kongo kwa sasa maana wale wezi wa rasilimali ya kongo watarudi kwa nguvu na wakishafanikiwa watatusumbua.Majeshi yetu ni busara yaendelee kubaki Congo
 
Oohhh pole sana mama !! Unasikitika kidogo unawatia nguv wafiwa.


Unakaroho kazuri eeehh?.
sana...
nawajali sana walinzi wa mataifa
hakuna watu nawaheshimu kama wanajeshi
siku ambazo watu tutajificha kwenye mahandaki wao watauza nafsi....
Wamejitolea kutulinda kwa namna yoyote...


Ndio maana nmeguswa sana...
 
sana...
nawajali sana walinzi wa mataifa
hakuna watu nawaheshimu kama wanajeshi
siku ambazo watu tutajificha kwenye mahandaki wao watauza nafsi....
Wamejitolea kutulinda kwa namna yoyote...


Ndio maana nmeguswa sana...
Vzuri sanaa,, kweli nivzuri kulipenda jeshi lako .maana jeshi ni Mlinzi.

Vipi ikiwa nitakua Mlinzi wako ,, siku niki rest in peace ,,Kipi utanikumbukia ?? Nakipi utakifanya kunienzi.
 
Aisee kuna jamaa yangu mwanajeshi amedai kuwa tatizo ni siasa zetu hasa mahusiano yetu na rwanda hakika mtoa mada hili jambo ni sahihi kabisa

Kuna ukweli mkubwa juu ya maisha ya wanajeshi wetu kule congo ni wakati wa mkulu kurekebisha sera zake dhidi ya mataifa haya ya jirani
 
sab
sababu zipo nyingi. Ila kubwa inaonekana ni kujiamini kupita kiasi hasa baada ya kuwashinda waasi wa M23. Kumbuka lile group lililoenda mwanzo na kuwashinda m23 lote limerudishwa nyumbani na wanapokezana linaenda group lingine. Kwahiyo kuna kujisahau na kuona kazi imebaki kidogo baada ya ushindi wa m23; kuna kupoteza umakini sababu ukiona kushambuliwa na kujeruhiwa na kuuwawa kwa idadi kubwa kiasi hicho ni dhahili walishtukizwa na hawakuwa na taadhari yoyote. Pia wanaliamini jeshi la DRC na kufanya nalo joint operations je wana uhakika ndani ya jeshi la DRC hamna mamluki wa waasi wanaovujisha siri? Tatu mbona askari ya nchi nyingine zenye askari katika kikosi cha UN kama Africa kusini na Malawi hawauwawi au wanajeshi wetu hawafati weledi?
 
Wafe tuuh, urafiki na kagame mnategemea nini??
Hii ni nguvu ya msiba kwa jirani kama kaka yako angekuwa amepoteza maisha usingeandika hivyo. Siamini kama Watanzania tumefikia hatua ya kuwatukana wafiwa badala ya kuwapa pole!
 
njoo inbox mkuu wangu umeadimika sana
ha ha ha,mimi ni wa kuadimika jf kweli?,yaani tangu nijiunge na jf 2011 nimeacha siku tatu tu nilipofanyiwa upasuaji,vidole vilipoanza kucheza tu nikalog in,,
huwa nachepuka dakika chache kuingia twitter kujikeep up to the second,
lakini juzi,nimemtukana sana Trump,wakanila ban eti wanadai mie Robot,ha ha ha,
 
Siwaamini wanyarwanda wanaweza kua sababu ya vijana kushambuliwa! Miaka yote ya nyuma hatukuandamwa na wimbi la mauaji kiasi hiki !!

Mlienda kufanya nin kule mambo hayawahusu mkaingilia why hawauwai wale wanajesh wa Monuc
 

Kama anaiba Kongo why na nyie msiende kuiba mkijifanya wasamaria wema kongo ina matatizo yake toka 1950 mtoke kule mfanye maisha yenu Tz shenz kabisa
 
Kwani hao wanajeshi wameenda lini Congo mbona unataka kumtwisha mtu mwingine mzigo
 
Mkuu inamana kweli PaKa anaweza akawa na Nguvu kutuzidi? Au ni uswahiba usio na kichwa wala miguu ndo umetufikisha hapa..!!!!
PaKa anatumia espionage ya hali ya juu, sio wingi wa jeshi au bajeti kubwa ya jeshi bali ni rasilimali watu ya maana katka Intelligence aliyonayo
 
Hakika hilo ndio tatizo wa TZ wamekuwa kikwazo kwa K. Tall kuiba Drc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…