Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hapo nmekuelewa ,,mwanzo kilio Chako niliona km kinalaumu ivipopote pale
Ni roho za watu zimepotea, ni walinzi wa Taifa jamani lazima tuomboleze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nmekuelewa ,,mwanzo kilio Chako niliona km kinalaumu ivipopote pale
Ni roho za watu zimepotea, ni walinzi wa Taifa jamani lazima tuomboleze
Hapana nmeumizwa moyoni kabisaHapo nmekuelewa ,,mwanzo kilio Chako niliona km kinalaumu ivi
Itakuwa kosa kubwa kutoa majeshi yetu kongo kwa sasa maana wale wezi wa rasilimali ya kongo watarudi kwa nguvu na wakishafanikiwa watatusumbua.Majeshi yetu ni busara yaendelee kubaki CongoUyasemayo yana ukweli fulani kwani utajiri mkubwa wa Kagame na pia sehemu kubwa ya maendeleo anayosifiwa Kagame kuyaleta Rwanda ni uwizi wa Raslimali za Wakongo iliyokuwa ikiporwa na askari wa Rwanda kwa kivuli cha M23, baada ya hao M23 kuvurushwa na walinzi wa amani kwa msaada wa JWTZ Kagame alihamaki enzi za J.M.Kikwete.
Hivyo bado wanawahujumu jeshi letu ili Mkulu apate sababu ya kuwaondoa huko DRC na kwa urafiki wake na Kagame tusishangae akafikia uamuzi huo.
Oohhh pole sana mama !! Unasikitika kidogo unawatia nguv wafiwa.Hapana nmeumizwa moyoni kabisa
nikifikiria hata na familia zao pia zimeumizwa.. wamekufa kishujaa
sana...Oohhh pole sana mama !! Unasikitika kidogo unawatia nguv wafiwa.
Unakaroho kazuri eeehh?.
Vzuri sanaa,, kweli nivzuri kulipenda jeshi lako .maana jeshi ni Mlinzi.sana...
nawajali sana walinzi wa mataifa
hakuna watu nawaheshimu kama wanajeshi
siku ambazo watu tutajificha kwenye mahandaki wao watauza nafsi....
Wamejitolea kutulinda kwa namna yoyote...
Ndio maana nmeguswa sana...
Hazina faida kwetuAisee mimi nahisi hizo habari za peace keeping mission inatakiwa tuziache
Huu ndio usenge wa mwisho kabisa. Kundi lolote na likiwa na viongozi wenye majina ya kiislamu basi linahusishwa na dini ya uislamu. Lakini tumeshuhudia Australia wameamua kufirana lakini hakuna kuhusishwa na dini.ADF ni islamist group wanaofata itikadi kama za boko haram,IS na makundi mengine yanamna hiyo
sababu zipo nyingi. Ila kubwa inaonekana ni kujiamini kupita kiasi hasa baada ya kuwashinda waasi wa M23. Kumbuka lile group lililoenda mwanzo na kuwashinda m23 lote limerudishwa nyumbani na wanapokezana linaenda group lingine. Kwahiyo kuna kujisahau na kuona kazi imebaki kidogo baada ya ushindi wa m23; kuna kupoteza umakini sababu ukiona kushambuliwa na kujeruhiwa na kuuwawa kwa idadi kubwa kiasi hicho ni dhahili walishtukizwa na hawakuwa na taadhari yoyote. Pia wanaliamini jeshi la DRC na kufanya nalo joint operations je wana uhakika ndani ya jeshi la DRC hamna mamluki wa waasi wanaovujisha siri? Tatu mbona askari ya nchi nyingine zenye askari katika kikosi cha UN kama Africa kusini na Malawi hawauwawi au wanajeshi wetu hawafati weledi?Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC
KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama
Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject
Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea
CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
Hii ni nguvu ya msiba kwa jirani kama kaka yako angekuwa amepoteza maisha usingeandika hivyo. Siamini kama Watanzania tumefikia hatua ya kuwatukana wafiwa badala ya kuwapa pole!Wafe tuuh, urafiki na kagame mnategemea nini??
ha ha ha,mimi ni wa kuadimika jf kweli?,yaani tangu nijiunge na jf 2011 nimeacha siku tatu tu nilipofanyiwa upasuaji,vidole vilipoanza kucheza tu nikalog in,,njoo inbox mkuu wangu umeadimika sana
Siwaamini wanyarwanda wanaweza kua sababu ya vijana kushambuliwa! Miaka yote ya nyuma hatukuandamwa na wimbi la mauaji kiasi hiki !!
Uyasemayo yana ukweli fulani kwani utajiri mkubwa wa Kagame na pia sehemu kubwa ya maendeleo anayosifiwa Kagame kuyaleta Rwanda ni uwizi wa Raslimali za Wakongo iliyokuwa ikiporwa na askari wa Rwanda kwa kivuli cha M23, baada ya hao M23 kuvurushwa na walinzi wa amani kwa msaada wa JWTZ Kagame alihamaki enzi za J.M.Kikwete.
Hivyo bado wanawahujumu jeshi letu ili Mkulu apate sababu ya kuwaondoa huko DRC na kwa urafiki wake na Kagame tusishangae akafikia uamuzi huo.
Kwani hao wanajeshi wameenda lini Congo mbona unataka kumtwisha mtu mwingine mzigoKwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC
KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama
Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject
Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea
CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
PaKa anatumia espionage ya hali ya juu, sio wingi wa jeshi au bajeti kubwa ya jeshi bali ni rasilimali watu ya maana katka Intelligence aliyonayoMkuu inamana kweli PaKa anaweza akawa na Nguvu kutuzidi? Au ni uswahiba usio na kichwa wala miguu ndo umetufikisha hapa..!!!!
Hakika hilo ndio tatizo wa TZ wamekuwa kikwazo kwa K. Tall kuiba Drc.Mimi bado naamini Rwanda wanafanya kila njia kuhakikisha majeshi yetu yanaondoka Kongo.Baada ya M23 kufurumshwa yale majeshi ya Rwanda kwa mgongo wa M23 bila shaka wanatumia waasi wengine lakini kwa minajili ya kulipiza kisasi.maana bila jeshi letu Rwanda bado wangekuwa Kongo kuvuna rasilimali za huko.Tuwe macho na Rwanda si watu wazuri hata kidogo kwenye ukanda huu.