Wala usimlaumu jamaa sbb mazingira ya kuombeana mabaya tumeyatengeneza ss wenyewe.Hongera wewe utaishi milele
Kwa akili hizi mtakufa sana DRC. Meshazoea kuwapiga watu wasiokuwa na silaha. Wakisikia wananchi wanaandama wanakuja na silaha za moto, mabomu na vifaru cha ajabu wananchi wapo mikono tupu.Sio lazima kila tukio tuli link na siasa za ndani ya Tz upinzani utaendelea kufa kwa mtindo huu wa kutegemea tukio then waanze kutengeza movies
Weewee wa milele hongeraUrafiki na kagame mnategemea nini??
Wapi huko Zuleykha?May them rest in peace huku niishipo kafariki mmoja kwakweli ningeshauri huo mkataba ufutwe.
sab
sababu zipo nyingi. Ila kubwa inaonekana ni kujiamini kupita kiasi hasa baada ya kuwashinda waasi wa M23. Kumbuka lile group lililoenda mwanzo na kuwashinda m23 lote limerudishwa nyumbani na wanapokezana linaenda group lingine. Kwahiyo kuna kujisahau na kuona kazi imebaki kidogo baada ya ushindi wa m23; kuna kupoteza umakini sababu ukiona kushambuliwa na kujeruhiwa na kuuwawa kwa idadi kubwa kiasi hicho ni dhahili walishtukizwa na hawakuwa na taadhari yoyote. Pia wanaliamini jeshi la DRC na kufanya nalo joint operations je wana uhakika ndani ya jeshi la DRC hamna mamluki wa waasi wanaovujisha siri? Tatu mbona askari ya nchi nyingine zenye askari katika kikosi cha UN kama Africa kusini na Malawi hawauwawi au wanajeshi wetu hawafati weledi?
Aisee mimi nahisi hizo habari za peace keeping mission inatakiwa tuziache
Arusha aisee jamaa kama utani vile.Dah so sadWapi huko Zuleykha?
Jeshi letu lilianza kukosea pale lilipoanza kufuata kauli za wanasiasa badala ya katiba na sheria ya nchi.Weewee wa milele hongera
Kuna mtu kaniambia sawa na usavyo.sab
sababu zipo nyingi. Ila kubwa inaonekana ni kujiamini kupita kiasi hasa baada ya kuwashinda waasi wa M23. Kumbuka lile group lililoenda mwanzo na kuwashinda m23 lote limerudishwa nyumbani na wanapokezana linaenda group lingine. Kwahiyo kuna kujisahau na kuona kazi imebaki kidogo baada ya ushindi wa m23; kuna kupoteza umakini sababu ukiona kushambuliwa na kujeruhiwa na kuuwawa kwa idadi kubwa kiasi hicho ni dhahili walishtukizwa na hawakuwa na taadhari yoyote. Pia wanaliamini jeshi la DRC na kufanya nalo joint operations je wana uhakika ndani ya jeshi la DRC hamna mamluki wa waasi wanaovujisha siri? Tatu mbona askari ya nchi nyingine zenye askari katika kikosi cha UN kama Africa kusini na Malawi hawauwawi au wanajeshi wetu hawafati weledi?
Jeshi halikwenda kule kufuata pesa,Kusudio kuu ni kulinda amani,hata hivyo mambo mengi wanayojifunza kinadharia wanatakiwa wakayafanye kwenye medani.Hivyo pindi matukio kama ya kulinda amani nchi inaamua kupeleka wanajeshi wake wawe na uzoefu wa kutosha wa matukio halisi.Jeshi bora ni lile lenye uzoefu na ambalo limeshashikiri kwenye mapambano mengi.Jamani hizi si harakati za majeshi yetu kujiongezea kipato,Inatulazimu tuhuzunike kwa vile vifo vimetokea,lakini wazo la kujitoa siliafiki.
Hapa unapocoment ni forum iliyoanzishwa na mtz mwenye mapenzi mema na nchi yake. Unapomuita mshenzi unafanya tuamini ile genocide bado inaathari sana ktk maisha ya watutsi waliowengi. Naamini pia ww si mtutsi.Kama anaiba Kongo why na nyie msiende kuiba mkijifanya wasamaria wema kongo ina matatizo yake toka 1950 mtoke kule mfanye maisha yenu Tz shenz kabisa