Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Mkuu? Kuanzia mwaka gani asee. Mara ya mwisho kumuona huyu jamaa ilikua ni Igo pale mapambao aliomba kununuliwa beer nikiwa na washkaji zangu. Alikua kachoka sana.
Au nime mchanganya ?
Saivi nadhani wewe utakuwa umechoka kuliko yeye, Diof anaishi Uingereza kwa sasa. Maisha yanabadilika sana Mkuu, alafu jamaa anatoka familia iliyo na exposure sema tu aliteleza kidogo wakati ule saivi karudi kwenye reli.
 
Mimi nilijua atakuwa ni teja huko Mwananyamala. Nimefurahi kusikia yupo vizuri.
 
Mkuu? Kuanzia mwaka gani asee. Mara ya mwisho kumuona huyu jamaa ilikua ni Igo pale mapambao aliomba kununuliwa beer nikiwa na washkaji zangu. Alikua kachoka sana.
Au nime mchanganya ?
diouf 3.jpg
 
Saivi nadhani wewe utakuwa umechoka kuliko yeye, Diof anaishi Uingereza kwa sasa. Maisha yanabadilika sana Mkuu, alafu jamaa anatoka familia iliyo na exposure sema tu aliteleza kidogo wakati ule saivi karudi kwenye reli.

Hahahhaa hapana mkuu sijachoka na beer naweza mnunulia nikienda mapumzikoni Easter break Uk.
 
Yaani hakuna msichana alikuwa anawalaza vibaya wanaume kama Aisha Madinda, akiaanza kucheza pale stageni karibia wanaume wengi mbele panatuna, kijiti kile kimemwonda jamani.
Na hata yule Lilian internet...nikiwaga mle stagini Mara zote natoka wamenitengua udhu....
 
Back
Top Bottom