Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Ali Choki Amechoka Kweli Kweli Yuko Mwanza Na Kabendi Kamoja Nilimuona Stejin Nikasikitika Sana Dah Haya Maisha Haya
 
Bana we asante sana kaka. Yule mtoto alikuwa mtamu bana.Unaweza ukahonga laki.
Duh, Kweli wajinga wasingekuwepo vibaya dukani visingenunuliwa..

Huyu alikuwa na utamu gani kwa macho mkuu.?
Mbona alikuwa kibungo.?

images%20(1).jpeg
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko wapi Halid Chokoraa? Wapi Diouf,wapi Charles Baba?
Namkumbuka mpiga kinanda wa T.O.T Band Kadie Katanga,ilikua hatari sana. Sijui bado yuko hai au vipi lakini jamaa alikua mkali sana.
Itoshe tu kusema mara baada ya muziki wa dansi ule wa Bendi kama Vijana,Washirika,Bimalee,Tancut Almas,Maquiz, OSS, nk kufa katika soko la muziki wa Dansi zilibaki bendi mbili yaani Msondo na Sikinde. Lakini Bendi za kizazi kipya zikachukua nafasi na walifanya kazi kubwa mno,hiyo ni miaka ya 1999 hadi angalau mwaka 2007. Wanamuziki wafuatao wametoa mchango mkubwa sana katika bendi hizo. Nao ni Banza Stone(R.I.P), Ally Choki,Muumini Mwinyijuma,Roggart Hega,Amina Ngaluma(R.I.P),Hamis Amigolas(R.I.P), Hadija Mnoga, Charles Baba,Nyosh el Saadat,Harid Chokoraa,Bashiru Uhad,Badi Bakule,Luiza Nyoni/Mbutu, Jesca Charles,Msafiri Diouf,Rashid Mwezingo,Pauline Zongo kutaja wachache.
Bendi hizo ni Twanga Pepeta(African Stars), Tam Tam,Muungano Band,FM Academia,T.O.T Band, Akudo Impact,Bambino Sound kutaja chache.
Kwa sasa hata hizo bendi zilizokuja kuchukua nafasi ya Bendi kongwe kama vijana Jazz nazo ndo zinakufa,tatizo sijui ni nini! Twanga wako kimya,T.O.T kimya,FM Academia nao ni kama kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe mhenga umewakumbuka wote hakika ulikula raha ila diamondo saundo hukuitaja ile ya kamuke sukari, diana astovila, eliston angai elly kinyama, jesus, elly longomba na Lillian internet. Na mkuu wa majeshi
 
Noma sana yule mdada mkuu.

Nilikuwa nikimwona tu akipita lazima dushe lisimame aisee manake alikuwa na ndugu zake pande za Sinza Mori ambao walikuwa ni majirani wetu,hivyo mara nyingi akija nilikuwa namtolea macho balaaa
Ulimla?? Aliondoka na ngwengwe huyo
 
Duh, Kweli wajinga wasingekuwepo vibaya dukani visingenunuliwa..

Huyu alikuwa na utamu gani kwa macho mkuu.?
Mbona alikuwa kibungo.?

View attachment 1032166View attachment 1032167

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata POMBE ukiiona kwenye CHUPA imetulia,,,,

UKIINYWA ndy UNAANZA KUSUMBUWA....

MWANAMKE mwingine MTAMU akiwa UCHI,,

hapo GUSA unate..
tena hapo kishaanza KUCHOKA MKUU,,,

usimdharau ANAYELILIA MAPENZI,,

hujuwi anachopewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaishi Uingereza siku hizi!

Mkuu? Kuanzia mwaka gani asee. Mara ya mwisho kumuona huyu jamaa ilikua ni Igo pale mapambao aliomba kununuliwa beer nikiwa na washkaji zangu. Alikua kachoka sana.
Au nime mchanganya ?
 
Wewe ni Mwanamuzki? Bravo Bro! Data kamilifu
Sio kinanda mkuu. Jamaa alikuwa anapiga drums hatari alikuwa na rasta flan hivi zile za kutongozea wazungu choka mbaya. Alikuwa ni chalii ya R. Naye alikufa kwa ajali enzi hizo. Kinanda TOT alikuwepo Thabit Abdul Huyu ambaye alikuja kuwa mtunzi na bwanaake Isha Mashauzi(jike la Simba ). Twanga kinanda alikuwa anakamua jamaa mmoja anaitwa profeshenali keybody Victor Mkambi Mwana Sumbawanga. Ni sheeegdaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom