Saivi nadhani wewe utakuwa umechoka kuliko yeye, Diof anaishi Uingereza kwa sasa. Maisha yanabadilika sana Mkuu, alafu jamaa anatoka familia iliyo na exposure sema tu aliteleza kidogo wakati ule saivi karudi kwenye reli.Mkuu? Kuanzia mwaka gani asee. Mara ya mwisho kumuona huyu jamaa ilikua ni Igo pale mapambao aliomba kununuliwa beer nikiwa na washkaji zangu. Alikua kachoka sana.
Au nime mchanganya ?
Huyu yupo Tanga mjini kama sijakosea.
Saivi nadhani wewe utakuwa umechoka kuliko yeye, Diof anaishi Uingereza kwa sasa. Maisha yanabadilika sana Mkuu, alafu jamaa anatoka familia iliyo na exposure sema tu aliteleza kidogo wakati ule saivi karudi kwenye reli.
Umesahau safu yote ya waimbaji wa Msondo mkuu hatunao tena.
Mkuu? Kuanzia mwaka gani asee. Mara ya mwisho kumuona huyu jamaa ilikua ni Igo pale mapambao aliomba kununuliwa beer nikiwa na washkaji zangu. Alikua kachoka sana.
Au nime mchanganya ?
Jamaa yupo vizuri tena shavu Dodo!Mimi nilijua atakuwa ni teja huko Mwananyamala. Nimefurahi kusikia yupo vizuri.
Mimi nilijua atakuwa ni teja huko Mwananyamala. Nimefurahi kusikia yupo vizuri.
Mtu kagongwa na gari kafa cause of death happy Ni HIV au gari? Au hata Kama alikuwa nao tuangalie cause of death ni ipi?
Saivi nadhani wewe utakuwa umechoka kuliko yeye, Diof anaishi Uingereza kwa sasa. Maisha yanabadilika sana Mkuu, alafu jamaa anatoka familia iliyo na exposure sema tu aliteleza kidogo wakati ule saivi karudi kwenye reli.
Was just joking Mkuu!Hahahhaa hapana mkuu sijachoka na beer naweza mnunulia nikienda mapumzikoni Easter break Uk.
Ndio yeye aisee..nilikutana nae mwaka jana kama sikosei alikuja likizo mie mwenyewe sikuaminiAsee ni yeye huyuhuyu tulimnunulia beer alikua teja kabisa.
Bado ipo mkuu chini ya uongozi wa Luiza NyoniNimemiss Twanga pepeta Kisiwa cha Burudani bongo. Akina mingoi
Nilimwoa amechoka kweli kiafya na kiuchumi pale Villa mpaka nikatoa machozi. Ila sasa hivi amerudi Dar.Ally Choki yupo Mwanza anaburudisha "wanywaji" Bar! Inasikitisha sana kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu choki hayupo tena Dar. Kweli dunia inazunguruka kama sio kuzungukaNilimwoa amechoka kweli kiafya na kiuchumi pale Villa mpaka nikatoa machozi. Ila sasa hivi amerudi Dar.
Nilimwoa amechoka kweli kiafya na kiuchumi pale Villa mpaka nikatoa machozi. Ila sasa hivi amerudi Dar.
Na hata yule Lilian internet...nikiwaga mle stagini Mara zote natoka wamenitengua udhu....Yaani hakuna msichana alikuwa anawalaza vibaya wanaume kama Aisha Madinda, akiaanza kucheza pale stageni karibia wanaume wengi mbele panatuna, kijiti kile kimemwonda jamani.
Mama Asha Baraka "Ironlady" chini ya ASSET amekabidhi uongozi au ni kwa Band pekee?Bado ipo mkuu chini ya uongozi wa Luiza Nyoni