Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Okay
 
Nilimwoa amechoka kweli kiafya na kiuchumi pale Villa mpaka nikatoa machozi. Ila sasa hivi amerudi Dar.
Sasa amerudi kutumbuiza au kupumzika? Kisiwa cha Band ni dar nakumbuka enzi ya Mango Garden
 
Ulimpata boss?
 
Mkuu pengine ni mke wa mtu sasa,,

haifai kueleza kilichofata,,,,
kumbuka viapo vya daktari kutunza siri za wagonjwa wake,,

siku ile alinitengua udhu Baharia...

ila nilizama na jahazi,,,sikukubali kujitosa baharini peke yng. ...
 
Mkuu lile feni la Lilian internet nalikumbuka hadi Leo,,,
japokuwa ni miaka 15 iliyopita....
maana lilikuwa feni lakini kama anajisaga na kusota kwenye DUSHE langu,,,

mkuu siwalaumu wale jamaa DUNGA DUNGA ,
pengine ni kuzidiwa na hisia... MUNGU ashukuriwe...kwa uhai..
 
Kweli mkuu wakati nipo kidato cha 3 nilikutana na demu mmoja ana sura ya baba lakini mpaka leo namkumbuka yule alikua jini la mapenzi..

#My wife najua utapita hapa utaona hii ilikua kabla yako hahahhaha
 
Kweli wewe mhenga umewakumbuka wote hakika ulikula raha ila diamondo saundo hukuitaja ile ya kamuke sukari, diana astovila, eliston angai elly kinyama, jesus, elly longomba na Lillian internet. Na mkuu wa majeshi
Roger muzungu
 
Mkuu hao uliowataja ni marehemu sasa watajikingaje.Waache marehemu wampumzike,hakuna ambaye hatakufa hapa duniani,kama si ukimwi kuna Corona ,kuna maradhi mengine ,kuna uzee,mkuu kama unapumua jua kuna siku usiyoijua utashindwa kupumua.
 
We mgeni hapa mjini nn siku izi kuna Mango tena ama
Atakuwa aliingizwa na mjomba wake kwenye dansi la Twanga siku mmoja alipokuja kumtembelea mjomba hapa jijini kabla hajarudi kwa Mpitimbi na tokea wakati huo Dar anaiona tu TBC .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…